Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

Mwamba from Chato muda huu angekuwa Chato na watumishi mngekuwa mshakura mishahara yenu mpo kujiandaa kwa X Mass, ila hawa warabu wa zanzibar hawajui x Mass nini mpaka mda huu watumishi mnapiga mihayo tu wameondoa mazoea mliyozoeweshwa 😂😂😂
 
Magufuli anachukiwa saaaana JF kuliko huko mitaani na mitandao mingine kama twitter, instagram, facebook na platforms nyingine.

Naanza kuhisi kuna IDs zimetengenezwa humu nyingi na mabwanyenye za kumchafua. Cha ajabu huko mtaani hali ni tofauti. Ukitaka uonekane mbaya muongelee vibaya huyu marehem mtaani uone kitakachokukuta.
 
View attachment 2454555

Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!

Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyo jamaa tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.

R.I.P JPM.
Ni kweli kwenye kundi la wajinga wengi wa ccm lazima utaona mambo hayo ya ovyo. Chama kimejaa laana kile... Punde hivi watagawana Jembe na nyundo!
 
Nakusikitikia hukijui chama chetu wewe!
Mwanachama mwenye elimu ya chini kabisa, ana Bachelor ya unafiki!
Kuna wengi walishangiliwa na wajumbe na bado wakapata kura moja! Muulize Mwijaku...
 
Back
Top Bottom