Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

View attachment 2454555

Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!

Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyo jamaa tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.

R.I.P JPM.
20221222_184755.jpg
 
Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!
Shangwe za marehemu tu hizo.

Kwa miila za kiafrika marehemu husifiwa hata kama alikuwa muovu.

Sasa huyu jamaa alikuwa muovu kweli kweli. Ndiyo maana hajaishi (Y. Makamba).
 
View attachment 2454555

Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!

Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyo jamaa tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.

R.I.P JPM.
Alishangiliwa na watu wa namna gani? Maana Afrika wajinga na wasio na akili ni wengi kuliko wenye akili.

Fikiria huko Uganda, hakuna Rais aliyewahi kubebwa na kushangiliwa kama Idd Amin Dada. Wewe unafikiri Afrika limekuwa bara la giza kwa bahati mbaya? Giza linaanzia vichwani mwa walio wengi.

Si ulishuhudia hapa kwetu kuna wakati shetani alitoa amri Lisu auawe kwa risasi, na kweli alitandikwa risasi. Kila mwenye akili Duniani alisikitika, lakini kuna Watanzania walishangilia na kumsifu muuaji eti ni kiongozi jasiri.

Shangilio la mwenye akili huashiria ubora lakini shangilio la mwendawazimu huashiria aibu.
 
Hiki chuma ni kama kilishushwa direct kutoka mbinguni, kinapendwa mno
Waovu huwa ni wengi kuliko watu wema. Waovu hawatakosa kumpenda mwovu mwenzao.

Wewe kama siyo muuaji, na unatambua wazi uuaji ni ushetani, hata siku mpja huwezi kumpenda kiongozi muuaji, mtesaji, mpotezaji wa watu na mdhulumaji.

Tunaomba Mungu azidi kuwajalie mioyo ya subira, unyenyekevu na unyofu, wale wote ambao wapendwa wao waliyawa, kupotezwa na hata kutiwa ulemavu na yule ibilisi. Alaaniwe ibilisi yule, yeye na washirika wake na vizazi vyao.
 
Hao watu wanampendaje si tunaambiwa alikuwa anauwa raia na kuwateka? Unataka kuniambia hao hawajui kwamba maelfu ya ndugu na jamaa zao waliyotekwa na kuuliwa kwamba aliyefanya hivyo ni Magufuli au wanajua ila wamempenda hivyo hivyo?
Lakini si unafahamu jinsi alivyominya haki ya kupata habari? Hao wote ni watumwa wa ujinga uliotokana na kunyimwa haki yao ya kujua ukweli juu ya uovu aliokuwa akiutendeka.
 
Ni Miaka 2 sasa, lakini hakuna siku Magufuli hajatajwa.

He was great
Itakaposemwa hitoria ya Tanzania bado JPM atatajwa, Mungu hadhihakiwi wala hana ushirika na mwanadamu, kila tendo la mwanadamu baya au zuri yeye hulihifadhi na kuipa haki yake...Cheza na vingine siyo haki ya mwanadamu...Uliza kwanini hatuwakumbuki marais wote wa Africa isipokuwa akina Patrice Lumumba, Kwame Nkurumah n.k?
 
Lakini si unafahamu jinsi alivyominya haki ya kupata habari? Hao wote ni watumwa wa ujinga uliotokana na kunyimwa haki yao ya kujua ukweli juu ya uovu aliokuwa akiutendeka.
Unatesekea mitaa ya wapi? Utapata cancer kwa chuki hiyo, shame upon your face!
 
Back
Top Bottom