bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Pale walijaa vijana wa ccm wengi na jezi zao,what if wamewapa mnacho kitaka? Nimewaza tu kwa nje ya boksi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana hasa Kijana Makamba, nadhani atalala kichwa kinaumaKashangiliwa mpaka wameona aibu
Magufuli angetakiwa aiongoze Afrika,
Ni zaidi ya rais
Hotuba za Magufuli kwa sasa zimekuwa hot cake.
tuachane na uchambuzi uchwara na ujuaji wa ki phaller humu jf, lijamaa linapendeka balaa
Ni nchi gani , Demokrasia ilileta maendeleoHuko nchi nyingine za Afrika kungekuwa na waoga wa kumuogopa yeye kupora uchaguzi ili akae madarakani?
Kama demokrasia haileti maendeleo, basi Afrika ndio ilitakiwa iwe na maendeleo sana, maana demokrasia yake ni tatizo.Ni nchi gani , Demokrasia ilileta maendeleo
Demokrasia ni sehemu ya ulaji , ya wapinzania kwa huku Afrika
Wewe umekuwa mzungu lini?Alishangiliwa na watu wa namna gani? Maana Afrika wajinga na wasio na akili ni wengi kuliko wenye akili.
Fikiria huko Uganda, hakuna Rais aliyewahi kubebwa na kushangiliwa kama Idd Amin Dada. Wewe unafikiri Afrika limekuwa bara la giza kwa bahati mbaya? Giza linaanzia vichwani mwa walio wengi.
Si ulishuhudia hapa kwetu kuna wakati shetani alitoa amri Lisu auawe kwa risasi, na kweli alitandikwa risasi. Kila mwenye akili Duniani alisikitika, lakini kuna Watanzania walishangilia na kumsifu muuaji eti ni kiongozi jasiri.
Shangilio la mwenye akili huashiria ubora lakini shangilio la mwendawazimu huashiria aibu.
China , Libya , Singapore , Russia nazo ni Afrika?Kama demokrasia haileti maendeleo, basi Afrika ndio ilitakiwa iwe na maendeleo sana, maana demokrasia yake ni tatizo.
Unachuki za kijinga sana we DadaKweli ujinga ni kipaji.
Hivi hapo cha ajabu ni nini alichokifanya ambacho kilikuwa hakijawahi kufanyika?
1) Hivi TAZARA na reli ya kati siyo reli?
2) Hivi, Mtera, Kidatu, Kihatnsi, siyo mabwawa?
Jambo pekee alilolifanya ni kuhamishia makao makuu Dodoma, ambalo kwa teknolojia ya Ulimwengu wa sasa, hakuna chochote tutakachoongeza.
Hivyo vingine vyote vilifanyika wakati wa watangulizi wake. Tena walivianzisha na vikakamilika.
Mahapa yakizidi, hufifisha akili. Ukianza kuorodhesha yaliyofanyika wakati wa JPM, kiuhalisia ni machache na madogo kuliko yaliyofanyika wakati wa baadhi ya watangulizi wake.
Kikubwa alichofanikiwa marehemu kuliko mtangulizi wake yeyote, ni kutengeneza kundi kubwa la wajinga wa kumwabudu na kumsifia kwa kila alilolifanya hata likiwa dogo kiasi gani na kulifanya lionekane ni kubwa la ajabu.
Kushinda Arabuni huko? China je? Russia vipiKama demokrasia haileti maendeleo, basi Afrika ndio ilitakiwa iwe na maendeleo sana, maana demokrasia yake ni tatizo.
China , Libya , Singapore , Russia nazo ni Afrika?
Thamani ya mtu huwa haionekani mpaka yule mtu anapokua hayupo miongoni mwa wale waliomtoa thamani.View attachment 2454555
Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!
Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyo jamaa tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.
R.I.P JPM.
Daah kwamba atuoni nawala atusikiiMbna no normal tu hats kilindi cha magu akitajwa jk watu walifurahi sana..
Mentality ya kitz
Huyo Bams ana akili vizuri tu ila shida yake ana wivu kama demu mcharuko.Akili yako ichunguze kama inafanyakazi sawasawa. Hata aliye wahi kuwa rais alikili kuwa huyu mtu ni zaidi ya mtu alafu wewe unasema matope VIP wewe
Matope kweli weweAlishangiliwa na watu wa namna gani? Maana Afrika wajinga na wasio na akili ni wengi kuliko wenye akili.
Fikiria huko Uganda, hakuna Rais aliyewahi kubebwa na kushangiliwa kama Idd Amin Dada. Wewe unafikiri Afrika limekuwa bara la giza kwa bahati mbaya? Giza linaanzia vichwani mwa walio wengi.
Si ulishuhudia hapa kwetu kuna wakati shetani alitoa amri Lisu auawe kwa risasi, na kweli alitandikwa risasi. Kila mwenye akili Duniani alisikitika, lakini kuna Watanzania walishangilia na kumsifu muuaji eti ni kiongozi jasiri.
Shangilio la mwenye akili huashiria ubora lakini shangilio la mwendawazimu huashiria aibu.
Watu wanajaribu kifuta au kuua legacy, but is it possible? Legacy inaonekana utaiondoaje machoni? Hao wanaojaribu kuua au kufuta legacy ndio wanasababisha Mungu wa Mbinguni aadhibu nchi. Ona vifo visivyoezeka, ukame wa ajabu, ajali zisizokuwa za kawaida wala kufikirika etc. Haya ni mapigo tu. TUTUBU KWA NIABA YA VIONGOZI WANAOBEZA NA KWA TAIFA LA TZ.Hao watu wanampendaje si tunaambiwa alikuwa anauwa raia na kuwateka? Unataka kuniambia hao hawajui kwamba maelfu ya ndugu na jamaa zao waliyotekwa na kuuliwa kwamba aliyefanya hivyo ni Magufuli au wanajua ila wamempenda hivyo hivyo?
Huoni aibu??Kweli ujinga ni kipaji.