Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply.
Mfano wa kijana wa kitanzania aliesoma nje na akabuni apps yake ni Benjamin Fernandez ila waliosoma DIT, UDSM wahitimu wakimaliza wanahangaika sana na bahasha, je tatizo mitaala yetu? Au uelewa ndio tatizo kukariri kupata GPA.