Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Wengi watakaofata watarudia haya uliyosema ndugu.Haya mambo yanahitaji zaidi ya elimu.
Mfano.
1. Mitaji.
2. Support ya serikali.
3. Uchumi mzuri wa nchi.
4. Track record.
5. Elimu kuwa juu kwa watu wengi.
6. Mifumo mizuri ya kodi.
7. High tolerance for failure.
8. Ease of doing business
9. Kujua lugha za kimataifa.
10. Utamaduni unaoruhusu kubadilika haraka.
Haya kumi yote ni matatizo makubwa Tanzania.
Mimi nimeanzisha Uzi nimeshamuelewa Hila kwenye mtaji tu nadhani ndio tatizo kuu hila support ya serikali nadhani ukienda tume ya sayansi na technology ukienda na ideal yako wanaweza kukusaidia zaidi.wengi watakaofata watarudia haya uliyosema ndugu.
Ukienda kwenye tume wakakusaidia zaidi kwa mipango isiyotimizika kwa sababu serikali ina kodi kubwa na kuanzisha biashara kuna vipingamizi vingi, hapo bado hujapata support ya serikali.Mimi nimeanzisha Uzi nimeshamuelewa Hila kwenye mtaji tu nadhani ndio tatizo kuu hila support ya serikali nadhani ukienda tume ya sayansi na technology ukienda na ideal yako wanaweza kukusaidia zaidi.
kuna shida sana kwenye mfumo wetu wa elimu toka primary hadi chuo.Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwann vijana wasayansi especially ICT wnahangaika sn wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply mfano wa kijana wa kitanzania aliesoma nje na akabuni apps yake ni Benjamin Fernandez Hila waliosoma dit,udsm wahitimu wakimaliza wanahangaika sn na bahasha je tatizo mitaala yetu?au uelewa ndio tatizo kukalili kupata GPA
Kabisa mkuuHaya mambo yanahitaji zaidi ya elimu.
Mfano.
1. Mitaji.
2. Support ya Serikali.
3. Uchumi mzuri wa nchi.
4. Track record.
5. Elimu kuwa juu kwa watu wengi.
6. Mifumo mizuri ya kodi.
7. High tolerance for failure.
8. Ease of doing business
9. Kujua lugha za kimataifa.
10. Utamaduni unaoruhusu kubadilika haraka.
Haya kumi yote ni matatizo makubwa Tanzania.
Hata hapa kwetu wapo watu wa ICT wapo vizuri. Usiangalie tu Chini angalia juu pia kuna watu wengi wametoboa na hii sekta.Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply.
Mfano wa kijana wa kitanzania aliesoma nje na akabuni apps yake ni Benjamin Fernandez ila waliosoma DIT, UDSM wahitimu wakimaliza wanahangaika sana na bahasha, je tatizo mitaala yetu? Au uelewa ndio tatizo kukariri kupata GPA.