FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Hela huna unataka watoto wakichotara. Umesikia wapi hao wanaenda kwa makabwela?Wakuu, wasalaaam,
Ni mikoa gani pisi kali haswa za kichotara chotara ivi zinazojielewa zinapatikana?
Naskia Tanga kuna za kiarabu kali kali. Mnaonaje wadau? Hivi ni kweli?
Na kama kuna anayejua mikoa mingine, itakuwa poa sana kutiririka humu wakuu. Shukrani sana.
Mkuu, wapi huku nimewaambia hali yangu ya kiuchumi?Hela huna unataka watoto wakichotara. Umesikia wapi hao wanaenda kwa makabwela?
Mzigo ungekuwa unasoma hata usingekuja huku kuuliza. Ungewapata tu.. Maama Uwaridi huvutia uwaridi
[emoji23][emoji23]Hela huna unataka watoto wakichotara. Umesikia wapi hao wanaenda kwa makabwela?
Mzigo ungekuwa unasoma hata usingekuja huku kuuliza. Ungewapata tu.. Maama Uwaridi huvutia uwaridi
Shida sio hela, nachomaanisha ni mahali walipo wengi. Mahali wapo wachache alafu kila mtu anataka, kunakuwa na conflict of interest na pia...supply ikiwa kubwa kuliko demand, bidhaa zinakuwa na ubora.Tafuta Hela utawapata Mbona
Haaaa...hujalala tuTafuta Hela utawapata Mbona
Duh! HAO HAPANA!! HERI NIOE MTIKuna za kipare ila zinapenda hela balaa
Leo nakosa usingiz mkuu,kichwa hakiko Sawa kabisaHaaaa...hujalala tu
🤜Shida sio hela, nachomaanisha ni mahali walipo wengi. Mahali wapo wachache alafu kila mtu anataka kunakuwa na conflict of interest na pia...supply ikiwa kubwa kuliko demand, bidhaa zinakuwa na ubora.
Nini tena?Leo nakosa usingiz mkuu,kichwa hakiko Sawa kabisa
Ahsante mkuu, sera ndo kama izi. Tupia nyama nyama ivi na kachumbari kwa mbali...Nenda tabora uko
Factors determine the price of a commodity: demand and supply; the higher the supply the lower the priceShida sio hela, nachomaanisha ni mahali walipo wengi. Mahali wapo wachache alafu kila mtu anataka, kunakuwa na conflict of interest na pia...supply ikiwa kubwa kuliko demand, bidhaa zinakuwa na ubora.