Ni mikoa gani pisi kali za kichotara zinapatikana

Ni mikoa gani pisi kali za kichotara zinapatikana

FourTwoNet

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
1,236
Reaction score
2,512
Wakuu, wasalaaam,

Ni mikoa gani pisi kali haswa za kichotara chotara ivi zinazojielewa zinapatikana?

Naskia Tanga kuna za kiarabu kali kali. Mnaonaje wadau? Hivi ni kweli?

Na kama kuna anayejua mikoa mingine, itakuwa poa sana kutiririka humu wakuu.

Kwa hayo machache,nawaomba na hili, mkalitazame.

Shukrani sana.
 
Wakuu, wasalaaam,
Ni mikoa gani pisi kali haswa za kichotara chotara ivi zinazojielewa zinapatikana?

Naskia Tanga kuna za kiarabu kali kali. Mnaonaje wadau? Hivi ni kweli?

Na kama kuna anayejua mikoa mingine, itakuwa poa sana kutiririka humu wakuu. Shukrani sana.
Hela huna unataka watoto wakichotara. Umesikia wapi hao wanaenda kwa makabwela?

Mzigo ungekuwa unasoma hata usingekuja huku kuuliza. Ungewapata tu.. Maama Uwaridi huvutia uwaridi
 
Shida sio hela, nachomaanisha ni mahali walipo wengi. Mahali wapo wachache alafu kila mtu anataka, kunakuwa na conflict of interest na pia...supply ikiwa kubwa kuliko demand, bidhaa zinakuwa na ubora.
Factors determine the price of a commodity: demand and supply; the higher the supply the lower the price

Ukitaka the higher the supply the lower the price nenda Tanga kuna wale wanaitwa Waburushi watoto wakali kinyama shombeshombe wale. Niliwahi mega pisi mbili nikiwa Tanga.

Nakushauri tembelea huko, utakuja kunishukuru baadaye
 
Back
Top Bottom