FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
- Thread starter
- #101
Mkuu, umeeleweka kabisa hapa. Mchango wako ni muhimu kwenye hii kamati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, umeeleweka kabisa hapa. Mchango wako ni muhimu kwenye hii kamati.
haaa haaa haaa ila sasa madada wa huku akishaona kakukamua vya kutosha,kakuchoka na ameshtuka umeanza kuishiwa anawahi pemba tuu unapigwa kitu unakuwa kanyaboya huekewi mmiliki mwingine anashika hatamu.Eh! Apo unguja unafanywa mtaji wa tozo sio? Pemba nafuu kidogo lakini kwa spidi iyo, naona yanaeza tokea yale ya ule jamaa wa Mwanza.
Mbona tabu ii muheshimiwa...kwa hiyo visiwani ni pisi ndo zinaamua mfumo!!! Mateso ayo...dah!haaa haaa haaa ila sasa madada wa huku akishaona kakukamua vya kutosha,kakuchoka na ameshtuka umeanza kuishiwa anawahi pemba tuu unapigwa kitu unakuwa kanyaboya huekewi mmiliki mwingine anashika hatamu.
Huku talaka kitu cha kawaida sanaaa na mwanamke kuolewa mara nyingi hujisifu anabahatii
haaa haaa haaa kaa road uone wamama kwa wadada nanavyosukuma ndinga kali ndio utaelewaMbona tabu ii muheshimiwa...kwa hiyo visiwani ni pisi ndo zinaamua mfumo!!! Mateso ayo...dah!
Thread closed!Tafuta Hela utawapata Mbona
Bila shaka...japo wataalam wasomi washapita humu na mapendekezo kadhaa.Ngoja waje kukupa muongozo...
Mkuu...imeisha iyo. Ntawaleteeni mrejesho. Toyo tour soon. 🤣🤣🤣Njoo Tabora anzia pale Bukene au Njoo Mwanza kule Kayenze zipo tele.😁.
Isiwe kesi. Itabidi nifuate maelekezo.Thread closed!