Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
Pemba ni kwamba hawana mambo mengi wao nia yako uoe tuu ila sasaa ukishao mzee ndugu watakuwa wanapishana tuu kwako afu usafi sifurii.🤣🤣🤣 dah! Apo pemba kama ni wife material, haina noma mkuu... huko ntaenda nikiwa na miaka 80 ivi, kwa sasa nimejiunga na jumuiya ya wasiooa...kwa iyo dah! Niko njia panda.
Sasa apo Pemba unasema ni wafilisti tupu(yani watakufilisi)....au wakikucheki kama mpunga umekaa poa na wamekuelewa ndio unapewa usajili.
Wafilisti ni waunguja mademu wanashinda ndani muda woote kazi hawataki kufanya wao shughuli tuu ndo kazi yao twgemeo lao kubwa wanaume