nywele moja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 251
- 349
Wasukuma,wamakonde ,wandengereko,wajaruo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga tour mzee baba pande za Tanga hautajutaMzee baba ahsante kwa kufafanua kabisa maanake huku supply ni kidogo so prices ni astronomical na absurd sana.
Tanga ndio nilipanga kufika hizo sekta baada ya kupata takwimu, nikasema kwa nini nisipige tour kabisa kupata variety.
Afu shukran sana kwa kuspecify kabisa....ntakuletea mrejesho.
Ntaongea na kamati kuu wakupe ile project ya kusmamia bandari ya Tanga mpango ukikaa.
Ndo maana nimekwambia hao hauwawezi.life style yao wanapenda maisha ya hali ya juu.kukuomba laki laki 2kila wiki kwao ni kawaida.haijalishi utagonga au haugongi hayo ni matumizi yake tuNdo maana nikasema, pisi zinazojielewa. Apo sasa wewe unawasemea kina Paula.... overpriced mkuu. Kuna pisi unaiangalia ivi, unashindwa kufikiria...alafu wala haina uswahili mwingi. Ni wewe na kiswahili yako, afu kama una future nzuri...mnaanzia hapo.
Alafu kama unamlipia demu unaemla photoshoot, dah! Upelekwe mirembe...
Kwa nini umesema hivyoKumbe jamaa ya manzese ni mjasiriamali wa taifa. Ase mkuu, tunaomba serikali ikuhamishie wizara ya fedha.
Weeh sema mkoa nikitimba hapo nikutafute mwana JF mwenzangu....Nipe na mie,nikakunywe pombe nilewe niendeshe baiskeli nigonge bodaboda zote.
🤣🤣🤣 ngakumanya. Nilijua tu hapo mndenyi hakutakosa barafu.Kilimanjaro
Maanake ziara zako sio za Manzese tu! Unalijua taifa mkuu.Kwa nini umesema hivyo
Kwanini mkuu? Kusema ukweli ata pisi awe mndengereko, lakini mweupe....dah! Nachanganyikiwa.Wewe naona uko karne ya 19. Au na wewe ni chotara.
Akili ni nywele mkuu. Sasa mpaka kufikia hapo...itabidi nikuelewe tu.Wasukuma,wamakonde ,wandengereko,wajaruo,
Point kali sana hii, nashkuru kwa maoni yako.Tatizo la colorism
Wewe unachagua na kupenda watu sababu ya ngozi ya rangi zao zilivyo nyeupe
Ila ipofika wewe kubaguliwa sababu ya ngozi yako unaanza kulia na kutoa maneno ya laana
Yaani mawadamu sisi ni mapumbavu sana,tena.....huu ni mfano wazi kabisa!
Usiwaze...ngoja apo wizara ya fedha wapitishe uo mswada.Piga tour mzee baba pande za Tanga hautajuta
Fanya hivyo mwanetu ongea na kamati kuu nipigie pande la bandari hiyoo tukusanye pisi za Kiburushi kama zote 🤣🤣🤣
Braza, inaonekana pisi unazokutana nazo zinakurudisha nyuma sana. Kunywa maji ya Mwamposa mkuu... alafu badilisha mazingira ujionee. Kwa kifupi, umezoea kudeal na ma liar. Bora ata ukachukue malaya kabisa uokoe matumizi.Ndo maana nimekwambia hao hauwawezi.life style yao wanapenda maisha ya hali ya juu.kukuomba laki laki 2kila wiki kwao ni kawaida.haijalishi utagonga au haugongi hayo ni matumizi yake tu
Aminia kiongozi natumaini Mwigulu ataipitisha tu. Tanga ndo habari sasaUsiwaze...ngoja apo wizara ya fedha wapitishe uo mswada.
Tanga nishaiweka kwenye list....so far ndo wanaongoza bila kushindwa mpaka sasa ligi kuu bara.
Sawa sawa, kikosi cha mafisi kinalifanyia hilo uchunguzi... kwa iyo Dodoma ni mpaka mtu afanye upelelezi sio?Tabora sawa,ila Dodoma sidhani.
Wakuu, nafkiri mpaka sasa mtakuwa mmemuelewa waziri wetu wa mambo ya nje alivyosema, na pia alivyo fafanua.Hao watoto wako maeneo ambayo wazungu waliweka makazi enzi za ukoloni. Au karibu na agencies za kimataifa kama Ubalozini.
Kwa mfano Arusha watoto wa design hio ni wengi, Moshi pia wapo wapo. Morogoro napo wapo kiaina. Hizo nazungumzia zile chotara OG!Unakuta familia iko njema mtoto akikuzimia anakuwa na wewe kwa upendo kamili sio kupigana mizinga.
Chotara za kiswazi ziko Dar, Tanga,Singida, Tabora hao ndio lazma upasuke haswa!
Waziri wetu wa mambo ya nje muheshimiwa Extrovert kasema za Tanga ni za kiswazi maanake, lazma mtu apigwe mizinga, hivi ni kweli?Aminia kiongozi natumaini Mwigulu ataipitisha tu. Tanga ndo habari sasa
Za kiswazi Miyeyusho kichizi, mie nshakula pisi Bee nikiwa Mo Town.Wakuu, nafkiri mpaka sasa mtakuwa mmemuelewa waziri wetu wa mambo ya nje alivyosema, na pia alivyo fafanua.
Arusha nina experience nao, na ni kweli unavyosema...sema sasa ni mpaka ma likizo ya vyuo vya nje. Wengi tunaofahamiana wanasoma ulaya bwuana...
Kumbe za kiswazi miyeyusho?