Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu naamini makabila ambayo hayana chura yanakushangaza zaidi
Mkuu umejua kunichekesha hali imekua mbaya hadi watu wanabadili utaratibu wa maisha
Mkuu mwili ukae ndani mda wote huo?si utaharibikaWa Jaruo,wakifiwa wanweza andaa mazishi hata miezi mitatu mbele huku mwili ukiwa ndani bila kuhalibika na watu ndo wakajikusanya wakasogea taratibu kwa mazishi,kiufupi waJaruo huweza kukaa na mwili wa marehemu ndani hata miezi mitatu
Wana dawa zao za jadi wanaweka na mwili unakaa poa tu kwa muda mrefu.hii ni ajabu sanaMkuu mwili ukae ndani mda wote huo?si utaharibika
Hahahaha hivi ugoro wanawake pia wanakula?Kitu hawayaacha ni ngusigi(ugoro), pia chupi hawataki kusikia, mke na mume hawalali chumba kimoja mpaka Siku ya mechi. Akipoteza fimbo anaweza kuifwata km 20 wakati yuko porini miti mingi shikamoo wamasai.
Pia wanawaogopa wamang'ati mmang'ati akipoteza ng'ombe wamasai wanamsaidia kutafuta maana varangati LA mang'ati si mchezo
Wanafaa kuigiza scene za kulia[emoji4]Hahahaha kama wabongo movie kwenye msiba wakiona camera wanajiliza hatari
Hahahaha hivi ugoro wanawake pia wanakula?
Yupo msituni kuna fimbo kibao anafunga safari kuifata fimbo aliyoizoea hahaha wewe haiwezekani bhana
Alaa kumbe wanawaogopa wamang'ati eeh
uongo usiovumilika(kidding)wasukuma wanashangaza wanakula ugali mkubwa na ugali mdogo(ndio mboga) ukiwapa machalari wanadai umewapa mboga tu, kwa hiyo hapo lazima wadai ugali
Mm nashangazwa na Mila za kizungu Kutengeneza sanamu la msanii wa maigizo kisha kuliabudu na kuliita Mungu au Mwana wa Mungu. Hapa tu ndio wazungu wameshindwa kutumia akiliMila za kiarabu ndo huwa zinaniacha hoi mfano kumpiga mawe shetan
Mbona hii balaa!Wanaume wa kichaga kutembea na wakwe zao
Hiyo kweli kabisaWa Jaruo,wakifiwa wanweza andaa mazishi hata miezi mitatu mbele huku mwili ukiwa ndani bila kuhalibika na watu ndo wakajikusanya wakasogea taratibu kwa mazishi,kiufupi waJaruo huweza kukaa na mwili wa marehemu ndani hata miezi mitatu