Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Wa Jaruo,wakifiwa wanweza andaa mazishi hata miezi mitatu mbele huku mwili ukiwa ndani bila kuhalibika na watu ndo wakajikusanya wakasogea taratibu kwa mazishi,kiufupi waJaruo huweza kukaa na mwili wa marehemu ndani hata miezi mitatu
 
Mkuu umejua kunichekesha hali imekua mbaya hadi watu wanabadili utaratibu wa maisha

Kitu hawayaacha ni ngusigi(ugoro), pia chupi hawataki kusikia, mke na mume hawalali chumba kimoja mpaka Siku ya mechi. Akipoteza fimbo anaweza kuifwata km 20 wakati yuko porini miti mingi shikamoo wamasai.

Pia wanawaogopa wamang'ati mmang'ati akipoteza ng'ombe wamasai wanamsaidia kutafuta maana varangati LA mang'ati si mchezo
 
Wa Jaruo,wakifiwa wanweza andaa mazishi hata miezi mitatu mbele huku mwili ukiwa ndani bila kuhalibika na watu ndo wakajikusanya wakasogea taratibu kwa mazishi,kiufupi waJaruo huweza kukaa na mwili wa marehemu ndani hata miezi mitatu
Mkuu mwili ukae ndani mda wote huo?si utaharibika
 
Kitu hawayaacha ni ngusigi(ugoro), pia chupi hawataki kusikia, mke na mume hawalali chumba kimoja mpaka Siku ya mechi. Akipoteza fimbo anaweza kuifwata km 20 wakati yuko porini miti mingi shikamoo wamasai.

Pia wanawaogopa wamang'ati mmang'ati akipoteza ng'ombe wamasai wanamsaidia kutafuta maana varangati LA mang'ati si mchezo
Hahahaha hivi ugoro wanawake pia wanakula?

Yupo msituni kuna fimbo kibao anafunga safari kuifata fimbo aliyoizoea hahaha wewe haiwezekani bhana

Alaa kumbe wanawaogopa wamang'ati eeh
 
Wanyakyusa njia nzima anaweza akawa kimya akikaribia eneo la tukio kama msiba aisee hicho kilio weka mbali na watoto..baada ya muda kidogo unamkuta mkavu
Hahahaha kama wabongo movie kwenye msiba wakiona camera wanajiliza hatari
 
Kagera magodoro ya guest kuvishwa maturubai/nilon kisa watu kupigana katelelo na mrembo wa pande hizo bila kumtoa hayo maji hawezi kukuelewa lazima amtafute mtu wa kukusaidia kuyatoa maana wanadai huwa yanawaumiza tumbo kama yasipotolewa kwa kuchalaza katelelo
 
Mila za kiarabu ndo huwa zinaniacha hoi mfano kumpiga mawe shetan
Mm nashangazwa na Mila za kizungu Kutengeneza sanamu la msanii wa maigizo kisha kuliabudu na kuliita Mungu au Mwana wa Mungu. Hapa tu ndio wazungu wameshindwa kutumia akili
 
Wa Jaruo,wakifiwa wanweza andaa mazishi hata miezi mitatu mbele huku mwili ukiwa ndani bila kuhalibika na watu ndo wakajikusanya wakasogea taratibu kwa mazishi,kiufupi waJaruo huweza kukaa na mwili wa marehemu ndani hata miezi mitatu
Hiyo kweli kabisa
 
Back
Top Bottom