Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

Tanga niliagizia samaki na ugali nilivyomaliza kula samaki upande nikamgeuza nikasikia wahudumu kwenye hotel teeeeeee amgeuza akosamke wewe nilishangaa sana
Mkuu hiyo sio mila bhana maana muhudumu anaweza akawa ni kabila lolote siyo lazma mtanga
 
Teh wasukuma wana vituko sana. Wasukuma hasa wanyantuzu mwanamke akifariki wakati wa kujifungua wanawake wanachuma fimbo na kuanza kutembea barabarani ole wake wakutane na mwanaume atakula viboko vya kutosha.
Wanadai bila mwanaume huyo mama asingefariki (asingepata mimba)
Hii Kali asee
 
Ndugu kuoa mke na kukaa nae watoto kwa niaba ya ndugu yake aliyekufa, hii niliiona Tarime
 
Kitu hawayaacha ni ngusigi(ugoro), pia chupi hawataki kusikia, mke na mume hawalali chumba kimoja mpaka Siku ya mechi. Akipoteza fimbo anaweza kuifwata km 20 wakati yuko porini miti mingi shikamoo wamasai.


Pia wanawaogopa wamang'ati mmang'ati akipoteza ng'ombe wamasai wanamsaidia kutafuta maana varangati LA mang'ati si mchezo
Kumbe
 
Hawa wamasai ambao wazazi hujenga mazoea ya kuwaingizia kwenye K watoto wao wakike vibuyu vyembamba aina ya finga ili wapanuke na waoelewe mapema. Mtoto wa kimasai anaeza olewa akiwa na miaka 7
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Wajaluo kusex na maiti (ikitokea binti marehemu hakuwahi kuolewa) kisha mwanaume kulipwa mahari ambayo ilikuwa alipiwe binti endapo angeolewa akiwa hai.
**Msione wa-Kenya wanamkataa Odinga hawa jamaa hamnazo.
NB: Nduggay2025TOSHA
 
Wanawake WA kikulya kuoa mwanamke na mtoto anayezaliwa anakuwa WA huyo mama aliyeoa
 
Back
Top Bottom