Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo sio mila bhana maana muhudumu anaweza akawa ni kabila lolote siyo lazma mtangaTanga niliagizia samaki na ugali nilivyomaliza kula samaki upande nikamgeuza nikasikia wahudumu kwenye hotel teeeeeee amgeuza akosamke wewe nilishangaa sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]Waha wakigoma. Wanavuta vidude kwenye papuchi na kuwa marefuuuu
Hali yakuwa wenzetu wanakata
Umeambiwa makabila ya Tanzania mkuuMila za kiarabu ndo huwa zinaniacha hoi mfano kumpiga mawe shetan
Hahaha kinadharia ni rahisi kusema hivyo,lakini ikikutokea u lazima utakuwa mnyonge tu,labda aliekufumania naye awe hana nguvu.ata nikitembea na mke wako lakini huwezi nipigia kwangu babalai.
Waha wakigoma. Wanavuta vidude kwenye papuchi na kuwa marefuuuu
Hali yakuwa wenzetu wanakata
Hii Kali aseeTeh wasukuma wana vituko sana. Wasukuma hasa wanyantuzu mwanamke akifariki wakati wa kujifungua wanawake wanachuma fimbo na kuanza kutembea barabarani ole wake wakutane na mwanaume atakula viboko vya kutosha.
Wanadai bila mwanaume huyo mama asingefariki (asingepata mimba)
Kwahiyo na wewe umekirefusha chako et[emoji23]Mm muha ndo nakwambia
KumbeKitu hawayaacha ni ngusigi(ugoro), pia chupi hawataki kusikia, mke na mume hawalali chumba kimoja mpaka Siku ya mechi. Akipoteza fimbo anaweza kuifwata km 20 wakati yuko porini miti mingi shikamoo wamasai.
Pia wanawaogopa wamang'ati mmang'ati akipoteza ng'ombe wamasai wanamsaidia kutafuta maana varangati LA mang'ati si mchezo
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hawa wamasai ambao wazazi hujenga mazoea ya kuwaingizia kwenye K watoto wao wakike vibuyu vyembamba aina ya finga ili wapanuke na waoelewe mapema. Mtoto wa kimasai anaeza olewa akiwa na miaka 7
Halafu miafrika bila kufikiria inajibebesha mawe toka Afrika kwenda kumtwanga mawe jini la kimanga kwa kudanganywa na tendeMila za kiarabu ndo huwa zinaniacha hoi mfano kumpiga mawe shetan
Minyaa ndio nini mkuu?Mgogo ktoboa macho kwa minyaa apate sababu ya kupewa msaada!