Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

Kuna jamaa yangu alikuwa ananifurahisha, alisema hao ni wazuri kwa sababu hawajui kusoma 'salary slip' japo ni waongeaji na wajuaji sana.
Nikisema hivyo waajiriwa hasa wa siri kali wanaelewa
So unamwambia mshahara wako ni laki 2 wakati kwa salary slip ni 5Million siyo? Sababu hajui kusoma😂
 
Pole... Mimi huyu wangu sometimes nachepuka ili kujikumbusha ubora wake. Michepuko yote haina IQ kama yake. She is a full package kwakweli. God Bless you Momma D.
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Mkuu sema Asante hawawajuaji pasua kichwa sana
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Uliunganishwa?
 
Mke wangu mimi ni nomaa.
Yuko aware na mambk mengi sana nadhani kwakua ni mwalimu wa history Alevel na mimi huwa namsaidia kumkatia nondo za hapa jukwaan kwahiyo anawajua hadi akina Putin...Mossad..CIA...mafekeche yoote ya akina Paul Kagame nakadhalika.
Namu inspire sana ku reach more na ukitukuta home tuna jadili mambo ya ulimwengu unaweza sema sis ni watu flan tu hiv sio mke na Mume..Ila sasa changamoto yake ni mvivuuu balaaaaaaaa...ni last born yani..Hatari kabisa..ndio hivyo tena mtu hapewi vyotee na nishamchukulia vile alivyo na maisha yanasonga ingawa sometimes nakwazika sanaaa...
Imagine hata msosi sometimes mpaka uombe yani..Kero sana....
 
Mzee kikubwa anakutii, anakuheshimu na kukujali inatosha, wengine ni ma much know ndani ya nyumba mnajikuta mabeberu mawili... 😂 😂 😂

Kama ye hana tumia zako, atazipata kupitia wewe.
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu

UNa matatizo makubwa sana, makubwa mno, na ushampata wa kum compare naye huko nje?
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Ndio huyu hyu asie na shape au kunamwingine?
 
Huyo ndie mwenyew, mwanamke inabidi awe hivo, asiwe much know, anauuliza uliza vimaswali vya kijinga jinga

Unakuta mwanamke anajua kikosi kizima cha Manchester united [emoji23]
😅😅😅 umenikumbusha wiki iliyopita nilikuwa naangalia mojawapo ya mechi za kombe la dunia. Mke wangu baada Pilika Pilika za jikoni kaja sebuleni kakuta naangalia hiyo mechi, sikumbuki ilikuwa timu gani ya Afrika ilikuwa inacheza na siku hiyo.

Swali sasa," Hivi hiyo ni Simba au Yanga? Na inacheza na timu gani hiyo ya wazungu?
Yaani hajui hata kama kuna mashindano ya kombe la dunia yanaendelea.
 
Huyu wangu ndo kabisaaa, mpaka mambo msingi ya responsibilities zake mpaka umkumbushe😂

Imagine mke hawezi kukufulia, usafi wa nyumba hawezi, nk.

Wanawake sometimes kuachwa mnajitakia wenyewe🙂
Pole. Huyu wa kwako ni mzigo. Huyu inawezekana ulimuoa kwa kuvutiwa na shepu na chura, ukasahau mambo mengine ya msingi. Lakini bado kuna nafasi ya kumsaidia kubadilika na kuwa mke anayejitambua. Inabidi uwe mvumilivu. Mvumilie hadi atakapobadilika.
 
Hata tako wala nini.... Basi tuu.

Kumrekebisha ni kawaida, sirembagi mie, full kumchana, namuambiaga wazi wewe umelelewa vibaya.

Na lastly, to every action, there are consequences. Mfano kwa sababu hizo kazi ni kama mzigo kwake, basi nilishakataa kata kata kumtafutia dada wa kazi maana hiyo ndiyo itazidi kumlemaza.
 
Back
Top Bottom