Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

We jamaa fala sana yaani unamke ambae ni mwanamke lakini unataka mke ambae ni mwanaume
 
Kwahy walioleta wazo la kuishi kabla ya kuoana ( uchumba) uliwaona hawajitambui
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Mkuu kwanza nikupongeza kwani kama mke wa milele wewe unaye.
Hayo ma academia hayajengi ndoa isipokuwa mke bora na aliye loyal kwako kama huyo.

Mimi binafsi ninavutiwa sana na mwanamke mwerevu na mtundu but hao ni pasua kichwa hakuna mfano.
Mnaweza kukosana kwa kubishania kitu kidogo mnoo na akakunyima amani na huwa hawajali.

Faida ya huyo unayemwona ni kilaza ni nyingi mno kuliko hasara.

Huyo mtazeeka naye ni wako daima mkuu

Na hasara ya mwerevu utamfurahia kwa wwrevu wake kwa baadhi ya mambo lakini ni aina ya wanawake pasua kichwa hatari.
Ndoa kudumu ni majaaliwa.

Mkuu shukuru Mungu una mlezi wa watoto wako na wewe pia.
Huwezi kupata vyote duniani...tusubirie mbinguni huenda ikawa
 
Siku akiwa hivo unavyotaka mbona utajuta.
Huyo ndio mzuri mana kwanza ni ngumu kubishana nae hata ugomvi kwa vitu vidogo vidogo sio rahisi tofauti na kina sie much know kila kitu tunajua tukipishana kidogo ugomvi sababu ya ujuaji.
Mwanamke wa hivo hata ndoa inakuwa na amani angalau.
 
Jamani mnisamehe yani nilivyosikia unasema mkeo hana tako nilijisikia vibaya sana. kwa sababu mimi pia sikubarikiwa kuwa na umbo namba nane bali nina umbo namba moja. mpende mkeo kwa jinsi alivyo.

Kama wengine walivyosema nenda naye polepole watu kama hao niwakufundisha kitu kimoja kimoja ninaimani nyie ni couple moja ya nguvu sana
 
Hahaha, mie mchumba angu ksa usafi hakuna sa kumshinda,, ila sasa nae ni wale wale tu, ana kiswaswadu cha kuchezea game za nyoka[emoji23][emoji2296],hajui dunia ya Instagram, wasap, etc.
Very unexposed
[emoji23][emoji23]Wew ni yule sakina wangu nn mkuu mnk nae ni gamu zake hzo
 
Maleven wahenga wesema "PEMA USIPOPEMA UKIPEMA SI PEMA TENA" Huku mitaani wenzako wanalia na ujuaji wa wake zao.

Huyo shemeji nahakika umejisalimisha kwako hakusumbui kwa ujuaji wa watoto wa mjini. Hakika anakupa kile mwanaume anachotakikana kupewa na mke wake. Kama ulichagua package hiyo na ulifahamu kuwa iko hivyo shukuru sana.

Ikiwa hukuridhika na namna alivyo kajaribu mchepuko wenye degree ya kwanza ama ya pili na utashughudia femminist idias kuanzia mlangoni hadi chumbani wakati wa kulala.

Shukuru mungu kaka us8kufuru neema za Mungu.

Jioni njema.
 
Nachojua wanawake wa namna hiyo wengi huwa submissive na huwachukulia waume zao kama mwanzo na mwisho. Hawana dreams wala matarajio katika maisha yaani kiufupi maisha yao yanaanza na kuishia pale yako yanapoanza na kuishia "wewe ndiye maisha yake"

Najua anakupa amani ya moyo sababu hakupi challenge na pengine ndio sababu ulimuoa Ila kwa sasa you want more...

Unaweza kumpa exposure ukitaka lakini ukiona ni kazi katafute wa kukupa hiyo package unayoitaka lakini nina uhakika bado kuna vitu vingi utavimiss kwa mkeo japo kwa sasa unavichukulia poa sababu ndivyo unavyovipata daily kiasi umevizoea, vimekuboa na havikusisimui tena

All in all do whats makes you happy
Umenena vyema sana ni aina ya wanawake ambao uamini katika njia za utafutaji mwanaume ndio nguzo, uamini kila umwambialo na kuliheshimu, kinachomsumbua mshkaji ni anamuona mkewe ni mshamba mshamba ngoja akadondokee kwa mabinti watoto wa mjini aonje joto la jiwe [emoji23][emoji23]

Nb: Ukioa mwanamke mjanja mjanja sana migogoro haitaisha na ndoa haitadumu kamwe.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu niliyemdunga mimba (It was just a crush) ndio utadhani hakuwahi kufika hata form four. Vitu very simple hajui kabisa anabaki kucheka cheka tu as she went to school fashionably. Yaani nakosaga hata mood ya kuongea nae, ndo hivyo nalea ujauzito kupitia aunt yake
 
Huyu wangu ndo kabisaaa, mpaka mambo msingi ya responsibilities zake mpaka umkumbushe😂

Imagine mke hawezi kukufulia, usafi wa nyumba hawezi, nk.

Wanawake sometimes kuachwa mnajitakia wenyewe🙂
Itakuwa hutoi hela ya matumiz home kwako
 
Mnanichekeshaga wababa wenye ndoa zenu mkiambiwa msioe mnatunanga "Oooh nyie ni wahuni" , Sasahivi unamuona mkeo idiot na wakati mwanaume ndo hukosea kuoa... Sasa kinachokosewa ndo idiot au aliekosea ndo idiot?
 
Back
Top Bottom