luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Ahaaaa mkipata akina sie mnatuona much know!
Sasa ummempata mtoto wa kisukuma maskini
.Hajui kama kuna vita uko Ukraine
Hajui huko Qatar kombe la dunia lilianza lini na linaisha lini?
Huko kwenye siasa ndo usimuulize may be anajua kuwa jpm wetu bado yupo hai!
Hata hakusikia the Royal tour ya mama
Sana sana anajua bongo movie huba.
Hawa si ndo mnatakaga? Kakukera nini minza wa watu?
Aisee kuna dada mmoja alinichekesha alisema anataka mme anaejuwa hesabu, kwamba yeye hajui hesabu anataka mme wake awe anawasaidia watoto homework