Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

Huyu wangu ndo kabisaaa, mpaka mambo msingi ya responsibilities zake mpaka umkumbushe😂

Imagine mke hawezi kukufulia, usafi wa nyumba hawezi, nk.

Wanawake sometimes kuachwa mnajitakia wenyewe🙂
Mkia upo lakini?
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana
I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
fukuza kaoe mtaaluma mkuu🤣🤣🤣 au oa vitabu na peni na majoho lkn Carleen .....niachie mm ntamuoa soon maaana daaah namtaman hatar
 
Lengo la Kuoa Lilikua nini?Tukijua lengo uenda tukasema kweli huyo hakufai au wewe ndio hufai maana uenda umebadirika toka kwenye lengo lenu la Kuoana. Mimi naamini ulioa ili mtengeneze familia jambo ambalo umesema anaweza,sina uhakika kama ulioa ili mshirikiane Kufanya Ugunduzi wa Kwenda Kuishi Mars huko uku Mkitukimbia na kutuacha tuendelee kutawaliwa na Chama Cha Mambuzi.Any way your Lucky Kuoa mwanamke wa Ivo Karne hii.
 
Kwani uko na plan za kufungua day care?.

Bro muache shemeji arelax usitake makuu. Maadamu anafanya majukumu yake, usitake aanze mijadala kama yupo jukwaa la great thinkers JF.

Ishi simple Bro
 
Wakati unaanz kusoma ulikuwa huna maarifa na ukaenda darasani waalimu wakakupatia maarifa na ukaweza panua ufahamu wako.. kuhusu mkeo n wewe ndio mwalimu wake yeye hajui unayoyajua nani sasa wataka amfundishe?
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana
I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida
Unakosea bwana mkubwa usimdharau kiasi hiko cha kuita idiot..Kaa naye chini mfundishe mwambie mke wangu saiv kuna vitu vingi vyakuzungumzia vitakavyotuletea maendeleo na si kila wakat tuongee ishu izi...mueleweshe tu, mbona wanaume hamna huruma kiasi hiki...je angekuwa ni dada yako huyo anafanyiwa hivyo ingekuwaje.
Wanaume wanyanyasaji ni wabaya mno
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana
I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Uliletewa kwenye box ceiled au unaonekana ulimpata kishamba sana, u didn't table anything meaningful for discussion severally to test her brain,
Weka mifano ya maada au vitu ambavyo hana idea kbsa isije ikawa wewe ndio ulimuoa Kwa vigezo vya mpito ambavyo ndio vimeishq Sasa unaona hana maana tena.
 
Yawezekana hupendi mademu much know halafu pia unamchukia na kumdharau much less. Fanya self assessment
 
Mwanamke asie na akili hana tofauti na mwanamke mpumbavu ambae ni aibu ya mama yake ....tumia akili zako mwanaume ukiona bado hazifiti achana nae huyo ipo siku utagundua ulikua unapoteza muda. Amini usiamini mwanamke wa type hiyo ni rahisi sana kudanganyika
 
Bufa wangu ashasemaga yeye anataka mwenye calio, akili watatumia zake, please mkipata mdada ana calio refu kama mvua akili awe nazo ama hana, naomba muunganishieni laazizi wangu tafadhali..!!

Itakua walidukua account yangu laazizi 🤣
 
Kabla ya ndoa alikua na akili zimepotea au alikua hivyo hivyo na bado ukaamua kumuoa? This says more about you than her.
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana
I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Mungu akusamehe aisee. Kama ulihitaji kuoa taaluma kwanini ulimtafuta huyo binti? Tusisahau kile tulichokiona mara ya kwanza mpaka kushawishika kuoa. Mambo mengine hufundishwa tu katika maisha. Mfundishe mkeo kile unachokitaka. Acha hii tabia kabisa ndugu yangu. Calm your heart please!
 
Mpo wengi ...

Wanaume wengi wameoa miungu watu sema hawawezi kuzungumza,wanakufa na tai shingoni.....

Hapo watakuja na kukucheka kinafiki...

Dawa ni fukuza siyo type yako huyo
Huu sio ushauri mzuri unamuingiza chaka mtoa mada.
Ukweli uko hivi asilimia 85 ya wanawake wa Kitanzania ndio wako hivyo hata akioa mwingine hakitabadilika kitu labda akaoe profesa au Daktari wa falsafa wa kutoka chuo kikuu dizaini kama ya wakina Tulia Ackson lakini wakikupelekesha kibabe usije kutuandikia uzi tena wa malalamiko.
 
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,

Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana
I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Sasa si wewe ndo umwelimishe?, It feel so good educating your wife about something,, unless otherwise awe mbishi,,
Mara moja moja unakaa nae mnatizama cNN na unakuwa unamwelewesha😂
 
Back
Top Bottom