Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
1. Tako
2. Tako
3. Tako
Akili zangu atatumia. Kikubwa anatoa mchezo na anaumudu.
2. Tako
3. Tako
Akili zangu atatumia. Kikubwa anatoa mchezo na anaumudu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wenye akili nyingi sana hawafai kuweka ndani.Nadhani kuna raha flani hivi ukioa kitu kina akili mpaka kinakupa changamoto.Kuna binti niliwahi kutana naye aisee very intelligent upstairs!
Sasa sijui tuwe upande gani jamani 🤣🤣
Swali la kujiuoiza ni alitafutiwa? Au kipindi cha uchumba hakumuona?Kwahiyo tako hana na akili pia hana?
Anyway kila mtu anapewa wa kufanana naye.
Kwa maelezo ya mtoa mada nilivyomsoma ni kwamba huyo mwanamke akili anazo sema huyu mtoa mada ni aina fulani ya mtu complicator wa mambo sasa anataka na mkewe pia awe complicatorKwahiyo tako hana na akili pia hana?
Anyway kila mtu anapewa wa kufanana naye.
Hahaha, mie mchumba angu ksa usafi hakuna sa kumshinda,, ila sasa nae ni wale wale tu, ana kiswaswadu cha kuchezea game za nyoka😂🙆♀️,hajui dunia ya Instagram, wasap, etc.Huyu wangu ndo kabisaaa, mpaka mambo msingi ya responsibilities zake mpaka umkumbushe😂
Imagine mke hawezi kukufulia, usafi wa nyumba hawezi, nk.
Wanawake sometimes kuachwa mnajitakia wenyewe🙂
Mlikutana siku mnafunga ndoa?Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,
Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot
N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Umeeleza vizuri sana, tufungulie uzi kutujuza zaidi unaonekana ni mwerevu.Nachojua wanawake wa namna hiyo wengi huwa submissive na huwachukulia waume zao kama mwanzo na mwisho. Hawana dreams wala matarajio katika maisha yaani kiufupi maisha yao yanaanza na kuishia pale yako yanapoanza na kuishia "wewe ndiye maisha yake"
Najua anakupa amani ya moyo sababu hakupi challenge na pengine ndio sababu ulimuoa Ila kwa sasa you want more...
Unaweza kumpa exposure ukitaka lakini ukiona ni kazi katafute wa kukupa hiyo package unayoitaka lakini nina uhakika bado kuna vitu vingi utavimiss kwa mkeo japo kwa sasa unavichukulia poa sababu ndivyo unavyovipata daily kiasi umevizoea, vimekuboa na havikusisimui tena
All in all do whats makes you happy
su uliowa matako kuenjoy pulling ya cc 3500/liter😂Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,
Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot
N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Kwa ulimwengu huu wa kucharuka heri ya huyo.Nachojua wanawake wa namna hiyo wengi huwa submissive na huwachukulia waume zao kama mwanzo na mwisho. Hawana dreams wala matarajio katika maisha yaani kiufupi maisha yao yanaanza na kuishia pale yako yanapoanza na kuishia "wewe ndiye maisha yake"
Najua anakupa amani ya moyo sababu hakupi challenge na pengine ndio sababu ulimuoa Ila kwa sasa you want more...
Unaweza kumpa exposure ukitaka lakini ukiona ni kazi katafute wa kukupa hiyo package unayoitaka lakini nina uhakika bado kuna vitu vingi utavimiss kwa mkeo japo kwa sasa unavichukulia poa sababu ndivyo unavyovipata daily kiasi umevizoea, vimekuboa na havikusisimui tena
All in all do whats makes you happy
Siku hizi ni kama tumeoa dada wa Kazi, maana hawa ndio utimiza majukumu ya mke kwenye ndoa,mke anachojua ni kuchati na kukaa mguu pande tu.Huyu wangu ndo kabisaaa, mpaka mambo msingi ya responsibilities zake mpaka umkumbushe😂
Imagine mke hawezi kukufulia, usafi wa nyumba hawezi, nk.
Wanawake sometimes kuachwa mnajitakia wenyewe🙂
kapigwa parefu sana😂😂😂 namshauri acashout kama ipoKwahiyo tako hana na akili pia hana?
Anyway kila mtu anapewa wa kufanana naye.
Yani akili hana na tako hana..??sa umeoa wa kazi gani?Hana hata hilo tako
Angalia udhaifu wake kwa jicho chanya nakuhakikishia unatoboa.Kwani wewe ulitaka kuoa lecturer au mke wa kutengeneza familia? Ninahisi kichwa yako inafanana na nyanya chungu umbile lake au biringanya na nywele za kipilipiliYaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,
Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot
N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu