Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Bufa wangu ashasemaga yeye anataka mwenye calio, akili watatumia zake, please mkipata mdada ana calio refu kama mvua akili awe nazo ama hana, naomba muunganishieni laazizi wangu tafadhali..!!
Ungependa muwe mnajadili nae MAGAZIJUTO nn😂😂😂Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,
Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot
N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Kama ana akili ya kuzungumzia mambo ya watoto, mapenzi na sex then wataka nini zaidi kwa mwanamke? Mbona kama unazingua babuYaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,
Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot
N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Nani kakudanganya?Huu sio ushauri mzuri unamuingiza chaka mtoa mada.
Ukweli uko hivi asilimia 85 ya wanawake wa Kitanzania ndio wako hivyo hata akioa mwingine hakitabadilika kitu labda akaoe profesa au Daktari wa falsafa wa kutoka chuo kikuu dizaini kama ya wakina Tulia Ackson lakini wakikupelekesha kibabe usije kutuandikia uzi tena wa malalamiko.
Hakuna mahali nimesema wanawake wa Tanzania ni wabaya.Nani kakudanganya?
Umetumia tafiti zipi kuzipata hizo 85% au umewaza tu...?
Aisee hii dunia bado wapo wanawake wengi na wazuri tu usipende kumkatisha tamaa jamaa kwa kutaka kuendelea kuishi kifungoni....
Methari 14: "Ni bora kuishi juu ya kona ya dari kuliko kuishi na mwanamke mgomvi"
Tunajua thamani ya vitu tukivipoteza.Kwa ulimwengu huu wa kucharuka heri ya huyo.
Nitajaribu 🙏🙏Umeeleza vizuri sana, tufungulie uzi kutujuza zaidi unaonekana ni mwerevu.
Kabisaa.. Ni binadamu wachache wanaoweza kutosheleza mahitaji yako yote ila cha msingi ni kuangalia yale unayoyahitaji zaidi 🙏🙏Achague moja tu ambalo ni msingi wa ndoa yao ...huwezi kupewa vyote kamwe
Mbona huelewekiHakuna mahali nimesema wanawake wa Tanzania ni wabaya.
Yeye mtoa mada anaamini kwamba mke wake hafai lakini si kweli kwamba hafai hiyo ni tabia tu ya kimaumbile mtu anakuwa nayo kutokana na malezi aliyopitia au mazingira alipo.
Sasa wanawake wa Kitanzania wako hivyo na si wanawake tu hata baadhi ya wanaume wako hivyo kutokana na relaxation iliyopo Tanzania kutokana na amani iliyojengeka ikiunganika na ujamaa.
Ukitaka kujua hichi ninachokiongea safiri utoke nje ya Tanzania hata hapo Kenya tu kisha ulinganishe wanawake wa kule wakoje ndio utanielewa ninachomaanisha.
Mkuu nafikiri kumbe hujanielewa.Mbona hueleweki
1: umesema 85% ya wanawake tz wapo hivyo, je hizo tafiti umetoa wapi?
2: Umesema nampotosha hebu thibitisha kwa Experience ya kwako ya mahusiano ama ndoa (ili ajifunze)
3: Kama huna uzoefu wowote basi mpatie mbinu mmbadalawa kukabir tatizo siyo kusema watz wanawake 85% wana matatizo hayo halafu unakana. [emoji848][emoji848][emoji848]
Huyu wangu ndo kabisaaa, mpaka mambo msingi ya responsibilities zake mpaka umkumbushe[emoji23]
Imagine mke hawezi kukufulia, usafi wa nyumba hawezi, nk.
Wanawake sometimes kuachwa mnajitakia wenyewe[emoji846]
Aliyekudanganya ndoa ni lazima mtu akidhi mahitaji yote ya Dunia nani? Kazi ya mwanamke kubwa duniani kwa mwanaume ni kuzaa watoto kwisha, sasa we unataka nini?Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,
Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot
N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
We jamaa utakuwa Muhaya aka "nshomile" ama lah basi ni mnyakyusa wa mwakaleli make ndo mnajifanyaga much know na nyodo za kishamba!
Unapata faida gani kumuanika mkeo na kumuadhirisha mtoto wa watu hapa?!
So what kwani tulikuchagulia?!! We mwenye akili umevumbua nini au taifa linakutegemea kwa kipi ulicho deliver?
Kazi ya mke ni kukuzalia watoto, kukuheshimu kama mumewe na kukusupport ktk harakati zako ktk kusaka tonge(kukuombea n.k). Sasa wewe ulimuoa ili mfanye debate na academic argumentations?!
Kwahiyo umefuta 85%..??Mkuu nafikiri kumbe hujanielewa.
Hilo sio tatizo kabisa na hakuna mahali nimesema hilo ni tatizo.
Na kuhusu ushauri aendelee naye tu aache kucomplicate maisha.
Kazi ya mwanamke sio kusolve Calculus,bali ni kulea watoto pamoja na kumliwaza mwanaume vitu vingine vilivyobaki mwanaume ndio controller.