Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wenye jina la Fatuma ndio wapo hivi ,hawana akili hata roboYaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,
Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot
N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
KabisaDuuh!
Nimemuonea huruma.
Nenda nae taratibu mkuu labda Mungu kamleta kwako ili umpanue uelewa wake.
Cha msingi anakuheshimu na ana hofu ya Mungu na yuko makini na malezi ya watoto wenu kama ulivyosema.
Anaweza akawa na uelewa mkubwa wa mambo viingereza vingi vingi halafu anakudharau itakufaa nini?
Please be easy with her.
Wow umemaliza mzeeNachojua wanawake wa namna hiyo wengi huwa submissive na huwachukulia waume zao kama mwanzo na mwisho. Hawana dreams wala matarajio katika maisha yaani kiufupi maisha yao yanaanza na kuishia pale yako yanapoanza na kuishia "wewe ndiye maisha yake"
Najua anakupa amani ya moyo sababu hakupi challenge na pengine ndio sababu ulimuoa Ila kwa sasa you want more...
Unaweza kumpa exposure ukitaka lakini ukiona ni kazi katafute wa kukupa hiyo package unayoitaka lakini nina uhakika bado kuna vitu vingi utavimiss kwa mkeo japo kwa sasa unavichukulia poa sababu ndivyo unavyovipata daily kiasi umevizoea, vimekuboa na havikusisimui tena
All in all do whats makes you happy
Shukrani mkuu 🙏🙏Wow umemaliza mzee
Umenena vyema sana ni aina ya wanawake ambao uamini katika njia za utafutaji mwanaume ndio nguzo, uamini kila umwambialo na kuliheshimu, kinachomsumbua mshkaji ni anamuona mkewe ni mshamba mshamba ngoja akadondokee kwa mabinti watoto wa mjini aonje joto la jiwe [emoji23][emoji23]
Nb: Ukioa mwanamke mjanja mjanja sana migogoro haitaisha na ndoa haitadumu kamwe.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yani dhambi zingine hizi🤣🤣🤣Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,
Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot
N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Au waanzishe shule then mke awe mwalimuUngependa muwe mnajadili nae MAGAZIJUTO nn😂😂😂
Hilo ni chaguo lako...Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,
Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot
N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Huyo ndo mke sasa unataka pasua kichwa auYaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,
Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot
N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Mkuu tutake radhi kwakweliNa wenye jina la Fatuma ndio wapo hivi ,hawana akili hata robo
Halafu kina feti ni mcharuko sana + ugawaji, 🙌Mkuu tutake radhi kwakweli
No one woman will be ur everythingYaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,
Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot
N.B
Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
We ni mwanasikolojia au ni mtu ulokula chnvi nyingi? This one is greatNachojua wanawake wa namna hiyo wengi huwa submissive na huwachukulia waume zao kama mwanzo na mwisho. Hawana dreams wala matarajio katika maisha yaani kiufupi maisha yao yanaanza na kuishia pale yako yanapoanza na kuishia "wewe ndiye maisha yake"
Najua anakupa amani ya moyo sababu hakupi challenge na pengine ndio sababu ulimuoa Ila kwa sasa you want more...
Unaweza kumpa exposure ukitaka lakini ukiona ni kazi katafute wa kukupa hiyo package unayoitaka lakini nina uhakika bado kuna vitu vingi utavimiss kwa mkeo japo kwa sasa unavichukulia poa sababu ndivyo unavyovipata daily kiasi umevizoea, vimekuboa na havikusisimui tena
All in all do whats makes you happy
Hapana mkuu,We ni mwanasikolojia au ni mtu ulokula chnvi nyingi? This one is great