Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Mwanzo wakati mnaanza mahusiano ilikuwaje mkuu..??Hana hata hilo tako
Na je unajitahidi kumuongoza katika njia sahihi wewe kama mumewe..??
Umejaribu kufanya jitihada za aina yoyote ile kumuongezea uelewa na maarifa kwenye mambo tofauti tofauti..?
Na yeye anafahamu unavyojiskia kuhusu hili suala..?