lamekiAgustino
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 481
- 1,318
asante kwakunielewaSawasawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante kwakunielewaSawasawa
asante kwakunielewa
Anamaanisha maji yanayosemwa kuwa safi na salama sio ya DAWASA.Mleta mada nahisi hili swali la mtego! Sidhani km ndiyo anachomaanisha! 😄
unakunywa maji ya dawasa nguvu yakubishana inatoka wapi🤣🤣🤣Niletea ubishi kidogo? 😊
Au niendelee kutafuta pesa
yadawasa au kisima?HEE!
naona mi utumbo sina maana sijawahi kuchemsha maji maishani
DAWASAyadawasa au kisima?
Unafananisha Uingereza na Tanzania!!!Kama maji wanatakiwa kuwekea dawa za kuondoa uchafu (flocculants) na kuua wadudu (chlorine) wanataka tuchemshe ya nini? Mbona wizara ya afya Uingereza inatoa angalizo kuwa maji ya bomba ni safi na safe kuliko ya kwenye chupa, sisi tunashindwa nini?
Mkuu anza sasa kunywa maji ya kuchemsha. Natamani ungetembelea mamlaka ya maji uone mambo yalivyo. Natamani uone maji yanavyosafiri kwenye mabomba hadi kukufikia hapo nyumbani. Naomba niishie hapaHEE!
naona mi utumbo sina maana sijawahi kuchemsha maji maishani
sawa mkuu zoezi litaanza mara mojaMkuu anza sasa kunywa maji ya kuchemsha. Natamani ungetembelea mamlaka ya maji uone mambo yalivyo. Natamani uone maji yanavyosafiri kwenye mabomba hadi kukufikia hapo nyumbani. Naomba niishie hapa
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
ChaiHEE!
naona mi utumbo sina maana sijawahi kuchemsha maji maishani
Maji mengi ya Dar es salaam ni machafu sana hata kama yanang'aaHabari za Majukumu!
Tangu mwaka huu uanze haya maji ya DAWASA nikiyanywa tumbo linaniuma. Zamani nilikuwa nakunywa ya kuchemsha yaani bila kuchemsha maji sinywi labda ninunue.
Mwaka jana nikajaribu kunywa maji ya bomba (DAWASA) bila kuchemsha nikaona hayana shida. Ni mpaka mwaka huu Januari ndio nakutwa na hali kama hii. Yaani nikiyanywa tuu tumbo linauma, ila nikinunua ya dukani au nikiyachemsha tumbo haliumi.
Hii maana yake nini? Ni mimi pekeangu?
Karibuni.
Kunywa maji yasiyochemshwa.Wakuu leo nimeona mpenzi wangu kapiga picha yupo kwenye ndege na sijui anaelekea wapi kwasababu pia hajaniambia kuhusu hiyo safari yake. Hii kitu ishanichanganya... nifanyeje kuhusu huyu mwanamke?
Dah, unakunywaje haya maji ya Tanzania bila kuchemsha? Pole kwa kuumwa tumboHabari za Majukumu!
Tangu mwaka huu uanze haya maji ya DAWASA nikiyanywa tumbo linaniuma. Zamani nilikuwa nakunywa ya kuchemsha yaani bila kuchemsha maji sinywi labda ninunue.
Mwaka jana nikajaribu kunywa maji ya bomba (DAWASA) bila kuchemsha nikaona hayana shida. Ni mpaka mwaka huu Januari ndio nakutwa na hali kama hii. Yaani nikiyanywa tuu tumbo linauma, ila nikinunua ya dukani au nikiyachemsha tumbo haliumi.
Hii maana yake nini? Ni mimi pekeangu?
Karibuni.
Dah, unakunywaje haya maji ya Tanzania bila kuchemsha? Pole kwa kuumwa tumbo
kwamba uwongo?Chai