Ni mimi tu au? Maji ya DAWASA ukinywa bila ya kuchemsha yanaumiza tumbo

Ni mimi tu au? Maji ya DAWASA ukinywa bila ya kuchemsha yanaumiza tumbo

Serikali inahimiza na kuelemisha chemsha maji au tia water guard? Unafikiri wanafanya kazi bure? Unataka wakuchemshie?
Kama maji wanatakiwa kuwekea dawa za kuondoa uchafu (flocculants) na kuua wadudu (chlorine) wanataka tuchemshe ya nini? Mbona wizara ya afya Uingereza inatoa angalizo kuwa maji ya bomba ni safi na safe kuliko ya kwenye chupa, sisi tunashindwa nini?
 
Nawakumbusha ndugu zangu Watz tumchemshe maji. Hali ni mbaya sana sasa. Vyanzo vya maji vingi viko kwenye hatari ya uchafuzi.
Wizara ya maji ilimwalika waziri mkuu kwenye kikao fulani chini ya waziri wa maji Juma Aweso, walikuwa wanajadili mabonde ya maji nchini. Hali sio nzuri kunywa maji bila kuchemsha.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app

Mimi nilidhani ni masafi tuu.
 
Maji ya bomba Tanzania sio salama, hivyo inashauriwa kuyatibu Maji kabla hujayatumia.

Ukishindwa kutumia chemicals kwaajili ya kutibu basi yachemshe kisha uyachuje kabla hujayanywa.

Inawezekana Kuna uzembe wa kutibu Maji kwenye hizo mamlaka za maji maana nimesoma malalamiko kwenye Mikoa ya Arusha, DSM hata Mwanza.

Hopefully Mamlaka zitachukua hatua ili kunusuru Afya za watumiaji
 
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom