Ni mimi tu au? Maji ya DAWASA ukinywa bila ya kuchemsha yanaumiza tumbo

Ni mwehu tu anaweza kunywa hayo. Maji bila kuchemsha, ngoja wendawazimu wenzako waje, Angalau ya Arusha, Dar es salaam na muingiliano wote wa sewage?
Wewe ndio mwehu,nani anachemsha maji Mbagala,kawe, Manzese,buguruni,Tegeta na maeneo yote ya uswahilini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…