Ni Mimi tu au na nyie inawatokea?

Mkiingia mapenzini huku mkiwa hampendani, hilo ni lazima litokee. Ni ngumu kwenda na mapenzi bila ya kupendana.

Ova
 
It's better to be upfront about your feelings kuliko continuing a relationship you're not interested in na acha kuforce mtu humpendi.

Ila tu una kapepo ka uhuni, kemea hiyo chap.
 
Uasherati na uzinzi ni uchafu. Msiukaribie.
 
Unapoachana nao nafsi yako inaumia au inaona kawaida?
Nafsi Ipo Kawaida na Sijutii Kuachana Nao lakini Inafikilisha Sana Kuachana Mapema na Mda Huo Nakua Kwenye Process na Kumnyandua Lakini Nashangaa Tu Haniskilizi Tena
 
S
Afu kwel,aje aseme isije kuwa mgumu kutoa afu anataka wa kudumu naye πŸ€”.

Hapana Kwa Tanzania Hii Naeza Afford 75% ya Demands za Mdada Yeyote Nchi Hii na Kwa Jinsi Napenda Wadada Wafurahie Kua namie Basi Pesa Hua Naitoa Kwa Wakati..!! Na Unawezakuta Mdada Nime - Meet Leo ila Kesho Nikimchatisha Anaanza Kujibu Ovyo Tofauti Na Jana
 
It's better to be upfront about your feelings kuliko continuing a relationship you're not interested in na acha kuforce mtu humpendi.

Ila tu una kapepo ka uhuni, kemea hiyo chap.

Daah Kuna Muda Hua Najihisi Nna Jini Mahaba Mamaqwe..!!
 
Hili ni tatizo,angalia mahusiyano yako ya nyuma afu usipende kuhangaika sanaaa na Wanawake wengine hawapend kuachwa wengine wanamikosi yao unabeba we,we kwakuwa umeshajua tatizo n nn Sasa huo ndio uponyaj wako,embu kaa kwa makini usali Mungu akufungue na hivyo vifungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…