Ni Mimi tu au na nyie inawatokea?

Mkuu Mpaka N

Mkuu Nahisi Labda Kuna Kurogwa & Nyota Yangu Imefubaa...!! Kwa Sababu Nna % Chache Sana za Kukubaliwa na Mwanamke Yeyote Yule Hata Ambae Anaonesha Kua na Nia Namie
Sijui kama kuna hali hiyo lakini mahusiano sio kwa kila mtu, sijui sababu hasa n nini
 
Mwanaume kamili haangaiki na wanawake.. hujakamilika bado
 
Tuma picha tuone ,huenda unaonekana HB uliyepitiliza mpaka wanakuona ushaleft uanaume [emoji23]
 
Ili udumu na hawa viumbe lazima uwe na makucha kama yale ya eagle na asijue formula yako pia usimruhusu mwanamke akutangulie mbele kukusoma jinsi ulivyo kivyovyote vile na chukulia vitu simple.

Sasa je, tukiachana na huo u-handsome unaojinadi nao je una makucha ya kushikilia mama kama yale ya eagle?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…