Niache 2
Member
- Aug 7, 2017
- 69
- 34
- Thread starter
- #21
Yaani sijui nitumie tena Lugha gani yaani nimejaribu mpaka basiOngeza maujanja dogo usisahau uongo ndio mwisho wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani sijui nitumie tena Lugha gani yaani nimejaribu mpaka basiOngeza maujanja dogo usisahau uongo ndio mwisho wao.
Mimi sio mtoto Nina imani kuwa katika hili sio utoto....Weeee mtoto umri wako bado mdogo sanaa somaa Kwanzaa mapenzi yapo tuu utayakuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh...
Sawa lkn bado hali haijanitoka nifanye kipi niweze kushinda hali hii?
Na ndo maana umeshindwa kuelewa kwanini unakataliwa kwasababu haujakuwa na elimu ya kutosha......sasa ni hivi narudia tena rudi shule kasome periodZingatia mada inasemaje mkuu swala la kusoma ni lingine kuna mahusiano gani kati ya elimu na mapenzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unacheka nini sasa hebu acha yaani mimi naumia alafu unacheka! Sawa nipe njia ya kuweza kushinda hali hiiTeh teh...
NimekuelewaNa ndo maana umeshindwa kuelewa kwanini unakataliwa kwasababu haujakuwa na elimu ya kutosha......sasa ni hivi narudia tena rudi shule kasome period
Sawa
Najua hawezi fanya kitu ila nafikiria atakuwa ananionaje au ananielezea vipi kwa wenzake! Yaani inaniuma mpaka basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi hela unazo ???kama hela huna achana nao tafta hela hao wanapenda hela .ukiwa nahela mpaka utawakimbia dogo.Habari za wakati huu wanajf!!
poleni na majukumu ya siku ya Leo!!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
mimi ni kijana Nina miaka 21.
Nina tabia moja ambayo nashindwa kujua ni tabia ya aina gani.
Nimetongoza wasichana wawili toka nianze Ku..... na wote wamenikataaa kwa sababu wanazozijua wenyewe...
sasa inakuja hivi naumia sana mpaka hata nikimuona msichana mwenyewe natamani kubadilisha njia ili hali tusionane.
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na mambo haya! hii hali inanitokea mimi tu.... au hata na wengine? Na kama ni hali ya kawaida wewe ulitumia njia gani kuishinda hali hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina imani kama ni pesa coz wenyewe wanaishi Maisha ya tabu kiasi kwamba natamani hata kumsaidia but hiyo nafasi ananinyima?Vipi hela unazo ???kama hela huna achana nao tafta hela hao wanapenda hela .ukiwa nahela mpaka utawakimbia dogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Asante sana kwa USHAURI mzuriSikiliza kijana kupata na kukosa kupo kushindwa Mara mbili tuu usha kata tamaa je ungekuwa yule aliye gundua umeme ambaye alishindwa Mara 9999 na ushee cha msingi kuwa msafi usinuke kokote unapo ongea usi cheke cheke jiamini na mwangalie USOni pia usitumie pesa kumpata demu mwache alizike nawe ukimpata tulia usianze madharau .
Sent using Jamii Forums mobile app
Basis kama vihela unovo nimbinu huna au unakurupuka kwwenye utongozaji wako ...MPE hela bila hata kumtongoza unakaa kama wiki moja unampata tena ..kisha unaomba kutoka nae siku moja hawezi kukataaa mpeleke mbali kidogo wengine hawapendi kujulikana mtaani kama wanamahusiano labda tayari anakibwana chake .Sina imani kama ni pesa coz wenyewe wanaishi Maisha ya tabu kiasi kwamba natamani hata kumsaidia but hiyo nafasi ananinyima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Msichana mwenyewe ndo hivo ameishia kidato cha nne bora yangu mimi.... hata kama bado sijamalizaNiambie uliwaambiaje........le big sista is here.......will teach you........
Wasikubabaishe..........kwanza sio type yako......achana nao........
Tell me.........
Swali la mbesai sio tatizo lepalai kake enaijo taakeye ingulien baa akeTafuta mbesai levay watakutongoza wenyewe
Yaani wewe hujui tu nimechoka mpaka basi sijui cha kufanya haelewi eti huyu binti!Basis kama vihela unovo nimbinu huna au unakurupuka kwwenye utongozaji wako ...MPE hela bila hata kumtongoza unakaa kama wiki moja unampata tena ..kisha unaomba kutoka nae siku moja hawezi kukataaa mpeleke mbali kidogo wengine hawapendi kujulikana mtaani kama wanamahusiano labda tayari anakibwana chake .
Sent using Jamii Forums mobile app