Bryson Samson
Member
- Aug 5, 2017
- 36
- 11
Exactly[emoji115]Kwasababu tayari umekataliwa na wawili ndio maana unakosa confidence ya kuwaface wengine
Solution ni kujikubali tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly[emoji115]Kwasababu tayari umekataliwa na wawili ndio maana unakosa confidence ya kuwaface wengine
Solution ni kujikubali tu
Nipo chuo. A level nilimaliza 2015Umeshajaza form ya mkopo
Hao ni wakawaida subiri October ukawapate warembo zaidi
Halafu dogo kumbuka kuna kontena la bibi
Sent using Jamii Forums mobile app
una akili za zamani sana....21 ni mtu kabisa anaefaa kuoaDogo ebu soma kwanza
AhahahaNakaribisha mtongozo wako kwangu
Nakaribisha mtongozo wako kwangu
Sawa wewe mwenye akili mpyauna akili za zamani sana....21 ni mtu kabisa anaefaa kuoa
Nahisi kama vile umedanganya hapa
[emoji12] [emoji12]Ukiwaona badilisha njia niaibu sana kukataliwa
Achana naeYaani inaniuma maana toka mimaliza A level mpaka Leo duh! Simuelewi huyu binti
Sent using Jamii Forums mobile app
WalaNahisi kama vile umedanganya hapa
Hivyo ww ulianza standard one ukiwa na miaka 4 duuh lkn syo issue sana
Huko Chuo hujaona kipenda roho chako?...
Wanawake wanajua wenyewe wanataka nini?...siyo hiyo elimu yako wala pesa zako
Asante mkuu kwa kushare namiNakushauri tu mdogoangu mapenzi wakati mwingine hayalazimishwi, unaweza kuja kuumia baadae, subiri atakayekupenda kwa dhati atakuja, mi nishakataliwa na wadada kama watano hivi sikukata tamaa sababu naamini wasichana wapo wengi watakaonifaa, upendo wa kweli anao mama tu hawa wengine maigizo mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo kuwa siriasi. Nafasi ya bure imetokea. Mfuate PM anaweza kukupa hints jinsi ya kutongoza
Mweeh dogo anapitwa na bahatiTeh teh...
dada jitahidi wanao wakifikisha miaka 18 watoe nyumbani wajitahidi kuanza maisha yao mapema ya kujitegemea...sio mtu mpaka 20+ bado tu upo nyumbaniSawa wewe mwenye akili mpya
Usimfundishe tabia mbaya bado mtoto huyo kuanza kununuaSi ukanunue tu Wamejaa hapa tbt, Mibanano ya nini na madem..