mjoli wa kweli
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 630
- 385
Kwa umri wako ni kawaida kuwa na hali hiyo, zaidi ni kama hujazoea kutongoza, ila usikate tamaa wala usiogope, jiamini kama walikukataa achana nao tafuta wengine mpka utazoea tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu pazuri,the great,mikasa nkSi ukanunue tu Wamejaa hapa tbt, Mibanano ya nini na madem..
Kwetu pazuri,the great,mikasa nk
Pitia huu uzi wa JoseverestHabari za wakati huu wanajf!!
poleni na majukumu ya siku ya Leo!!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
mimi ni kijana Nina miaka 21.
Nina tabia moja ambayo nashindwa kujua ni tabia ya aina gani.
Nimetongoza wasichana wawili toka nianze Ku..... na wote wamenikataaa kwa sababu wanazozijua wenyewe...
sasa inakuja hivi naumia sana mpaka hata nikimuona msichana mwenyewe natamani kubadilisha njia ili hali tusionane.
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na mambo haya! hii hali inanitokea mimi tu.... au hata na wengine? Na kama ni hali ya kawaida wewe ulitumia njia gani kuishinda hali hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes..
HahahaSikiliza kijana kupata na kukosa kupo kushindwa Mara mbili tuu usha kata tamaa je ungekuwa yule aliye gundua umeme ambaye alishindwa Mara 9999 na ushee cha msingi kuwa msafi usinuke kokote unapo ongea usi cheke cheke jiamini na mwangalie USOni pia usitumie pesa kumpata demu mwache alizike nawe ukimpata tulia usianze madharau .
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaHiyo ni hisia yakawaida kwa kila kijana anapoanza mahusiano na husaidia kupunguza kasi ya kujiaminisha na kumtaka kila anayepita mbele yako kwa lugha nyingine hutia adabu.
Na hata utakaye mpata baadae lazima utamthamini sana kutokana na majeruhi ya wale waliokupuuza
Sent using Jamii Forums mobile app