Ni mjinga pekee anayedhani America itaondoa bases zake middle East na kumuondolea vikwazo Iran

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough country ilo liko wazi ila kupambana na US katika complete war, Iran bado mtoto.
America hajatumia ata mwanajeshi mmoja wa ardhini lakini.
  • Amefyeka viongozi wa juu kabisa wa Iran
  • Amefyeka almost Navy yoote ya Iran, yaani Meli 150 za iran zimefyekelewa mbali

- Amefyeka complex industries kama viwanda vya chuma, kemikali n.k

- Amefyeka top universities, hospitals, research centers

-Amefyeka Kambi za jeshi,na vituo vya polisi.

-Amefyeka Lunchers, drones facilities, Armed vehicles n.k

Effect

1. Mlango bahari wa Hormuz uko wazi.

Kwa hayo yote how come America imekuwa defeated?? Zaidi ya Iran kurusha makombora Kwa nchi jirani.

So America sio mjinga kukubali kuingia kwenye negotiations na Iran Kwa mashartu 10 ya Iran, Anajua kabisa sio yote atayakubali na Iran anajua ilo
 
Malengo ya Marekani kuingia vitani yalikuwa yapi ?

Yalikuwa ni kuondoa dola ya kiislamu Iran kwa kuua viongozi ili kuleta uasi na revolts kutoka kwa raia na jeshi.

Kuharibu utawala, yaani chain of command hapo Iran. Walipomuua Khamanei walifurahi sana, kupongezana na kunywa mvinyo.

Kushika na kukalia kisiwa chenye kuzalisha mafuta na kuiba mali za Iran hasa mafuta na gesi.

Kuwazuia Iran kuzalisha silaha za nyuklia na kurutubisha uranium.

Kudhibiti Hormuz ili kujipa uratibu wa biashara ya mafuta na gesi duniani. Kumbuka dunia inateseka kinishati kwa sasa, sababu tuu Iran kavimba hapo kwenye shingo (Hormuz). Hakipiti kitu pale.
 
Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough country ilo liko wazi ila kupambana na US katika complete war, Iran bado mtoto.
America hajatumia ata mwanajeshi mmoja wa ardhini lakini.
  • Amefyeka viongozi wa juu kabisa wa Iran
  • Amefyeka almost Navy yoote ya Iran, yaani Meli 150 za iran zimefyekelewa mbali

- Amefyeka complex industries kama viwanda vya chuma, kemikali n.k

- Amefyeka top universities, hospitals, research centers

-Amefyeka Kambi za jeshi,na vituo vya polisi.

-Amefyeka Lunchers, drones facilities, Armed vehicles n.k

Effect

1. Mlango bahari wa Hormuz uko wazi.

Kwa hayo yote how come America imekuwa defeated?? Zaidi ya Iran kurusha makombora Kwa nchi jirani.

So America sio mjinga kukubali kuingia kwenye negotiations na Iran Kwa mashartu 10 ya Iran, Anajua kabisa sio yote atayakubali na Iran anajua ilo
Waarabu tayari wameingia akili wamejua Amerika hana uwezo wa kuwalinda, kama Amerika hajaondoa kambi zake mwenyewe atafukuzwa.
 
Unarudia kosa lile lile ambalo umewashutumu wabongo kuwa hata kikao hakijafanyika wanadai irani kashinda, lakini wewe umedai marekani mkubwa mara kashinda...takataka tupu

We CIA WA TEMEKE PIRE, ili uonekane unazo kichwani ulitakiwa uweke chini malengo ya US kuingia vitani tuone yametimizwa? vitisho vya trump vimetimia?

hata wale mossad wa vwawa songwe wakuelewe!
 
Yalikuwa ni kuondoa dola ya kiislamu Iran kwa kuua viongozi ili kuleta uasi na revolts kutoka kwa raia.
Kushika kisiwa chenye kuzalisha mafuta na kuiba mali za Iran hasa mafuta.
Kuwazuia Iran kuzalisha silaha za nyuklia na kututubisha nyuklia.
Kudhibiti Hormuz ili kujipa uratibu wa biashara ya mafuta na gesi.
wamefanikiwa malengo yao?
 
Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough country ilo liko wazi ila kupambana na US katika complete war, Iran bado mtoto.
America hajatumia ata mwanajeshi mmoja wa ardhini lakini.
  • Amefyeka viongozi wa juu kabisa wa Iran
  • Amefyeka almost Navy yoote ya Iran, yaani Meli 150 za iran zimefyekelewa mbali

- Amefyeka complex industries kama viwanda vya chuma, kemikali n.k

- Amefyeka top universities, hospitals, research centers

-Amefyeka Kambi za jeshi,na vituo vya polisi.

-Amefyeka Lunchers, drones facilities, Armed vehicles n.k

Effect

1. Mlango bahari wa Hormuz uko wazi.

Kwa hayo yote how come America imekuwa defeated?? Zaidi ya Iran kurusha makombora Kwa nchi jirani.

So America sio mjinga kukubali kuingia kwenye negotiations na Iran Kwa mashartu 10 ya Iran, Anajua kabisa sio yote atayakubali na Iran anajua ilo
Duh!
Kwa maelezo haya basi Iran kwisha habari yake. Mana America wamefyekelea kila kitu cha Iran! Tusaidie pia kujua kwa nini vita haiishi?
 
Kidiplomasia US kapoteza tena vibaya sana, mda huu anakazi ya kujenga reputation yake middle east na EU maana ushawishi wako kwenye hizi kanda umedrop sana na hii moja kwa moja inaenda kuimpact thamani ya dollar. Middle East sizani kama watakubali US aweke tena Millitary base zake ,kawatia hasara kubwa kutumia ardhi zao kufanya mashambulizi zidi ya Iran,wengi hawata kubali kujifungamanisha na US.

Ukija upande wa silaha US kwa siku alikuwa anatumia USD 890m na hii vita imeanda siku kama 39 sasa zidisha nainaweza kuwa zaidi ya hiyo utakayo ipata. Ukija kwenye hasara aliyo ipata kwenye kambi zake za middle east, akikaa chini inaweza ikafika hata USD 1Til,kwani according to retirement US General Kenneth ambaye alikuwa mkuu wa CENTCOM,iliwachukua miaka hamsini kujenga ile miundombinu ya kijeshi Middle East, ila mpaka sasa kambi nyingi zimepigwa na kuharibiwa. Bado hujaja kwenye mahesabu ya ndege na Chopa zilizo haribiwa.

Iran tayari bunge lao limeapprove malipo ya dollar mil 2 kwa kila meli na kwa mwezi Hormuz inapitisha zaidi ya meli 3000 manake kW mwaka Iran anaingiza zaidi ya USD 72 Bil ambazo atazitumia kurepair miundombinu yake iliyo haribiwa ,unaweza ukakuta baada ya miaka mitatu (kama kutakuwa na usitishwaji wa vita permanently) gharama za miundombinu yake iliyo haribiwa zikarudi.
 
Most of the people who support Iran have significant challenges in understanding the English language hence their conclusion that Iran has prevailed.

Needless to say, the war has been reportedly suspended for a period of two weeks ostensibly to allow negotiations to take place.

So there will be, of course, cautious optimism as to how these talks are going to take place and what kind of results they are going to achieve and it's after this development when the world will see what will transpire but it won't in any way spell the end of the war.

Perpendicular to that, it's nobody's guess if this fragile truce is just a "tactical pause" to allow the cunning side the opportunity to marshall plans and resources ready to initiate the marauding assault that will be decisive, only time will tell.
 
wamefanikiwa malengo yao?

Hawajafanikiwa malengo yao U.S na Israel.

Dola ya kiislamu bado ipo Irani.

Iran bado kuna utawala, chain of command bado ipo Iran. Tofauti na Libya, Iraq na Venezuela.

Irani bado kuna utulivu na sovereignty.

Iran katika masharti yake kurutubisha uranium bado ni mpango wake. Masharti ambayo U.S ameshayakubali.

So far, hakuna uasi wa jeshi wala wa raia Irani.

Bado Iran anadhibiti Hormuz na kisiwa cha gesi na mafuta. Maana yake ni kwamba bado Iran anadhibiti uchumi wa dunia kupitia mafuta na gesi.

Bado Iran ana ushawishi na nguvu mashariki ya kati.
 
Sasa jeshi la anga na ardhini lipi lina uwezo?🤣🤣

Ni mjinga tu atasema jeshi la ardhini linaweza kupigana ..Mimi nakuambia hata wale wa pale Nigeria akienda ardhini hawezi kushinda ...Hata pale congo jeshi lake la ardhini linaenda kuisha kweupe.

Makombora ndio uwezo huko ardhini hakuna vita ,muulize Israel kama alishawahi kushinda na mgambo wa Hezbollah kwa ground inversion...Muulize USA juzi eti utume ndege 150 kumuokoa mtu mmoja ambaye tena hayuko mikononi mwa adui 🤣🤣..Unaenda kumchukua mtu msituni eti unapeleka ndege zote za makomandoo..

Kuhusu vita hata mimi sioni kama imesimama kwa vile hakuna makubaliano ila ilikuwa na propaganda , wayahudi wote wamepata fedheha ya karne watafnya kila njia USA apigane tena
 
Hawajafanikiwa malengo yao U.S na Israel.

Dola ya kiislamu bado ipo Irani.

Iran bado kuna utawala, chain of command bado ipo Iran. Tofauti na Libya, Iraq na Venezuela.

Irani bado kuna utulivu na sovereignty.

Iran katika masharti yake kurutubisha uranium bado ni mpango wake. Masharti ambayo U.S ameshayakubali.

So far, hakuna uasi wa jeshi wala wa raia Irani.

Bado Iran anadhibiti Hormuz na kisiwa cha gesi na mafuta. Maana yake ni kwamba bado Iran anadhibiti uchumi wa dunia kupitia mafuta na gesi.

Bado Iran ana ushawishi na nguvu mashariki ya kati.
nimekuelewa
 
Asante sana mchumi
CASS hawatoi vilaza
 
Back
Top Bottom