Imeloa
1. nani ameingia au amelazimisha deal la cease fire?
2. malengo ya vita yametimia?
-tuchambulie kamoja baada ya kengne tuone!
Huna akili kafiri la makafiri.Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough country ilo liko wazi ila kupambana na US katika complete war, Iran bado mtoto.
America hajatumia ata mwanajeshi mmoja wa ardhini lakini.
- Amefyeka viongozi wa juu kabisa wa Iran
- Amefyeka almost Navy yoote ya Iran, yaani Meli 150 za iran zimefyekelewa mbali
- Amefyeka complex industries kama viwanda vya chuma, kemikali n.k
- Amefyeka top universities, hospitals, research centers
-Amefyeka Kambi za jeshi,na vituo vya polisi.
-Amefyeka Lunchers, drones facilities, Armed vehicles n.k
Effect
1. Mlango bahari wa Hormuz uko wazi.
Kwa hayo yote how come America imekuwa defeated?? Zaidi ya Iran kurusha makombora Kwa nchi jirani.
So America sio mjinga kukubali kuingia kwenye negotiations na Iran Kwa mashartu 10 ya Iran, Anajua kabisa sio yote atayakubali na Iran anajua ilo
Unadhani pia siku moja jeshi la lebanon likiwa imara litaruhusu huyo proxy wa Iran aendelee kuwepo hapo lebanon? Fikiria pia hilo,maana Israel kama Taifa halina ugomvi na Lebanon kama Taifa..wana ugomvi na hao HezbollaKatika masharti yake kasema Lebanon iachiwe huru.
Hilo ni pigo kwa Myahudi. Hapo Lebanon pako kimkakati hasa kivita, Myahudi akilala akiamka macho na masikio yake ni Lebanon na Syria. Myahudi hawezi kubali piga ua, Lebanon iwe free. 😁
Hiyo proposal Israel lazima hataikubali.
Kwanini Lebanoni?
Lebanoni ni mwiba mchungu kwa Israeli sababu ni kwamba, Lebanon ni eneo la kimkakati la waarabu/waajemi kumpiga Myahudi siku za usoni. Kusema Lebanon iwe huru maana yake, Israeli iwe kwenye hatari kubwa sana.
Wapo Hezbolah pale ambao ni Iran backed proxy. Iran kaweweka ndie mfadhili mkubwa wa Lebanon. Na siku Lebanon ikawa na utulivu wa kijeshi na uwezo, basi Myahudi hakuna rangi ataacha kuona. Lebanon kuwa dhaifu ndio almanusra ya Myahudi.
Syria ndio Dameski, kibiblia huko Dameski kumetabiliwa katika zama za Abraham kama ni chuki ijayo dhidi ya Israel. Iran kusema Lebanon iwe free anamlenga Myahudi hapo, maana huko ndio proxies za Iran zimejificha na kujichimbia. Lebanon ikiwa huru, maana yake na Syria itapata utulivu pia. Na lengo la Myahudi ni kuhakikisha hawa watu hawana utulivu, ili washindwe kujipanga, washindwe kutulia kupanga mipango, wawe na hofu, viongozi wao wawe na mchecheto katika siku zao zote. Myahudi ni bingwa wa vita ya saikolojia. Myahudi anamini waarabu/waajemi hawatakiwi kupata utulivu, wawe na mchecheto, hofu na mashaka siku zote. Ndio maana utaona amewekeza sana kwenye ujasusi ili kuharibu mipango yao. Myahudi anaamini, Mwarabu hatakiwi kupata utulivu wa nafsi na maarifa. 😁
Hayo masharti 10, ni masharti ya kimkakati na kama kukiwa na maafikiano ya maandishi, basi U.S inaweza muwia vigumu sana kuja kuwavamia Iran huko badae.
Kama U.S atakubali Lebanon kuwa huru, na Iran irutubishe Uranium, Myahudi atamgeuka na wenda atapigana vita mwenyewe. 😁
Masharti hayo mawili ni pigo kwa Myahudi. Sio ajabu Netanyahu hivi sasa yupo vikaoni na viongozi w juu anakuna kichwa. Iran anataka kuponyoka kwa proposal hiyo. 😁
Unadhani pia siku moja jeshi la lebanon likiwa imara litaruhusu huyo proxy wa Iran aendelee kuwepo hapo lebanon? Fikiria pia hilo,maana Israel kama Taifa halina ugomvi na Lebanon kama Taifa..wana ugomvi na hao Hezbolla
Israel iliishambulia na kuikalia Lebanon kabla hata ya hizbulah kuanzishwa.Unadhani pia siku moja jeshi la lebanon likiwa imara litaruhusu huyo proxy wa Iran aendelee kuwepo hapo lebanon? Fikiria pia hilo,maana Israel kama Taifa halina ugomvi na Lebanon kama Taifa..wana ugomvi na hao Hezbolla
- Amefyeka viongozi wa juu kabisa wa Iran
- Amefyeka almost Navy yoote ya Iran, yaani Meli 150 za iran zimefyekelewa mbali
Hujui unachokiongea.Israel kama Taifa halina ugomvi na Lebanon kama Taifa..wana ugomvi na hao Hezbolla
Sawa,we ndo unajua.Hujui unachokiongea.
Eti mossad wa vwawa 😂😂Unarudia kosa lile lile ambalo umewashutumu wabongo kuwa hata kikao hakijafanyika wanadai irani kashinda, lakini wewe umedai marekani mkubwa mara kashinda...takataka tupu
We CIA WA TEMEKE PIRE, ili uonekane unazo kichwani ulitakiwa uweke chini malengo ya US kuingia vitani tuone yametimizwa? vitisho vya trump vimetimia?
hata wale mossad wa vwawa songwe wakuelewe!
We ndiye mjinga hizo base nani atazitaka tena zimewalinda vipi hao wenye hizo nchiNimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough country ilo liko wazi ila kupambana na US katika complete war, Iran bado mtoto.
America hajatumia ata mwanajeshi mmoja wa ardhini lakini.
- Amefyeka viongozi wa juu kabisa wa Iran
- Amefyeka almost Navy yoote ya Iran, yaani Meli 150 za iran zimefyekelewa mbali
- Amefyeka complex industries kama viwanda vya chuma, kemikali n.k
- Amefyeka top universities, hospitals, research centers
-Amefyeka Kambi za jeshi,na vituo vya polisi.
-Amefyeka Lunchers, drones facilities, Armed vehicles n.k
Effect
1. Mlango bahari wa Hormuz uko wazi.
Kwa hayo yote how come America imekuwa defeated?? Zaidi ya Iran kurusha makombora Kwa nchi jirani.
So America sio mjinga kukubali kuingia kwenye negotiations na Iran Kwa mashartu 10 ya Iran, Anajua kabisa sio yote atayakubali na Iran anajua ilo
Tupo hapa ,,tusubiri ni Kambi gani ya America itaondoka middle EastWe ndiye mjinga hizo base nani atazitaka tena zimewalinda vipi hao wenye hizo nchi
USA hana ujanja tena Europe kwa sasa wanaelekea kumaliza matatizo na Iran na America sa hivi ameona kuwa karibu na Iran ni bora kuliko kuwa karibu na Israel sababu akiwa karibu na Iran anaweza kubaki hapo Middle East kula pesa za warabu kuendelea kuilinda Israel kuna mcost sana
Unatakiwa ufuate mlolongo wa historia. Israel ina ugomvi na LEBANON nzima. 1958 Beirut crisis aliianzisha Israel ili kuivunja Lebanon yenye uchumi mkubwa na yenye nguvu,washukuru mujaheddin wa Hizbollah ndio wameitetea LebanonUnadhani pia siku moja jeshi la lebanon likiwa imara litaruhusu huyo proxy wa Iran aendelee kuwepo hapo lebanon? Fikiria pia hilo,maana Israel kama Taifa halina ugomvi na Lebanon kama Taifa..wana ugomvi na hao Hezbolla
Iraq kambi za USA zimeshaanza kuondolewa tangu mwaka jana Disemba.Tupo hapa ,,tusubiri ni Kambi gani ya America itaondoka middle East
Wataondoka tu time itaongeaTupo hapa ,,tusubiri ni Kambi gani ya America itaondoka middle East
jeshi la ardhi ndio muhimili mkuu katika uwanja wa vita.majeshi mengine yoote ni msaada tu. hizo sehemu zoote unaona zinapigwa makombola taarifa zinatoka kwa jeshi la ardhini.Sasa jeshi la anga na ardhini lipi lina uwezo?🤣🤣
Ni mjinga tu atasema jeshi la ardhini linaweza kupigana ..Mimi nakuambia hata wale wa pale Nigeria akienda ardhini hawezi kushinda ...Hata pale congo jeshi lake la ardhini linaenda kuisha kweupe.
Makombora ndio uwezo huko ardhini hakuna vita ,muulize Israel kama alishawahi kushinda na mgambo wa Hezbollah kwa ground inversion...Muulize USA juzi eti utume ndege 150 kumuokoa mtu mmoja ambaye tena hayuko mikononi mwa adui 🤣🤣..Unaenda kumchukua mtu msituni eti unapeleka ndege zote za makomandoo..
Kuhusu vita hata mimi sioni kama imesimama kwa vile hakuna makubaliano ila ilikuwa na propaganda , wayahudi wote wamepata fedheha ya karne watafnya kila njia USA apigane tena
Hakuna kitu kama hicho ,wangeanza na ardhi...Hakuna vita ya ardhini anaweza kushinda hata na TZ...Mbona hakupeleka ardhini na akamate maeneo yapi?jeshi la ardhi ndio muhimili mkuu katika uwanja wa vita.majeshi mengine yoote ni msaada tu. hizo sehemu zoote unaona zinapigwa makombola taarifa zinatoka kwa jeshi la ardhini.
huwezi kukamata maeneo ya adui yako bila ya jeshi la aldhini. labda kama malengo ya vita ni kumtia hasara adui ndio unalipua hovyo.ila kama malengo ni kudhibiti maeneo ya adui lazima upeleke jeshi la ardhi. angalia kinachofanyika rebanoni hii inamaanisha israel anamalengo ya kuchukua maeneo ya nchi hiyo. ila kwa irani wameamua kutiana hasara kwanza ila wakishaamua kwenda kuweka himaya yao lazima jeshi la ardhi nishushwe hapo.
sasa wewe subili uone timu itakavyoshushwa na kuanza kuivuruga iran kama ilivyofanywa iraq.Hakuna kitu kama hicho ,wangeanza na ardhi...Hakuna vita ya ardhini anaweza kushinda hata na TZ...Mbona hakupeleka ardhini na akamate maeneo yapi?
Sasa hapo Lebanon kuanzia lini mbona anarudi nyuma ,mzee Hauwezi kupigana na wanajihad vita vya ardhini...Anga na makombora ndiyo nguvu hakuna cha zaidi ...Usidanganye watu ,hata waachie jangwani hawawezi kupigana ..
Jeshi la ardhini kwa dunia ya sasa hakuna nguvu ,hata uwe na silaha za miyonzi ..Pale Vietnam walikimbia .Huko Lebanon wameshindwa mpaka airforce zinawasaidia kulipua majngo 🤣🤣🤣..
Mzee hawezi kushinda na jeshi la ardhini yaani hawezi kupigana hata na Al shabab