Ni mjinga pekee anayedhani America itaondoa bases zake middle East na kumuondolea vikwazo Iran

Ni mjinga pekee anayedhani America itaondoa bases zake middle East na kumuondolea vikwazo Iran

Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough country ilo liko wazi ila kupambana na US katika complete war, Iran bado mtoto.
America hajatumia ata mwanajeshi mmoja wa ardhini lakini.
  • Amefyeka viongozi wa juu kabisa wa Iran
  • Amefyeka almost Navy yoote ya Iran, yaani Meli 150 za iran zimefyekelewa mbali

- Amefyeka complex industries kama viwanda vya chuma, kemikali n.k

- Amefyeka top universities, hospitals, research centers

-Amefyeka Kambi za jeshi,na vituo vya polisi.

-Amefyeka Lunchers, drones facilities, Armed vehicles n.k

Effect

1. Mlango bahari wa Hormuz uko wazi.

Kwa hayo yote how come America imekuwa defeated?? Zaidi ya Iran kurusha makombora Kwa nchi jirani.

So America sio mjinga kukubali kuingia kwenye negotiations na Iran Kwa mashartu 10 ya Iran, Anajua kabisa sio yote atayakubali na Iran anajua ilo
Siku zote ukishajiita super power na ukaenda kupigana na regional power halafu ukamshindwa na kutafuta suluhu ya mezani wewe mkubwa ndio umeshindwa period, ili kuficha aibu alitakiwa asike huku kwa kurushiana mabomu mwishowe ni kuaibika tu.
 
sasa wewe subili uone timu itakavyoshushwa na kuanza kuivuruga iran kama ilivyofanywa iraq.
narudia tena.jeshi la ardhi ndio baba majeshi yote yaliobaki ni ya msaada na yanafanya kazi kutoka na taarifa zinazotoka kwa jeshi la ardhi.

kama hutaki kaa hivyohivyo.
Sasa mbona wamekimbia juzi hapa🤣🤣🤣wameensa na ndege 150 zote zilikuwa kwenye operation....Mission ya kuiba Uranium ikabuma...So rahisi eti ardhini ,kule Venezuela Rais aliuzwa na watu hawajalipwa mpaka leo.

Waulize pale somalia kama wangeweza... USA hawezi kupigana vita ya ardhini labda apige bomu hapo amalize wamajeshi wote then anakute wananchi yaani hata wabaki wanawake wa Iran na silaha atakimbia.
 
Hii vita inaingia katika rekodi za dunia (Guiness Book of Record) Israel kuua kiongozi wa nchi Khomenei na wasaidizi wake muhimu zaidi ya 40 wakati Wairan hawajaua hata mwenyekiti wa kitongoji kule Israel ! hii ni Rekodi ya dunia..
 
Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough country ilo liko wazi ila kupambana na US katika complete war, Iran bado mtoto.
America hajatumia ata mwanajeshi mmoja wa ardhini lakini.
  • Amefyeka viongozi wa juu kabisa wa Iran
  • Amefyeka almost Navy yoote ya Iran, yaani Meli 150 za iran zimefyekelewa mbali

- Amefyeka complex industries kama viwanda vya chuma, kemikali n.k

- Amefyeka top universities, hospitals, research centers

-Amefyeka Kambi za jeshi,na vituo vya polisi.

-Amefyeka Lunchers, drones facilities, Armed vehicles n.k

Effect

1. Mlango bahari wa Hormuz uko wazi.

Kwa hayo yote how come America imekuwa defeated?? Zaidi ya Iran kurusha makombora Kwa nchi jirani.

So America sio mjinga kukubali kuingia kwenye negotiations na Iran Kwa mashartu 10 ya Iran, Anajua kabisa sio yote atayakubali na Iran anajua ilo
Tujulishe hivi fifth fleet naval base bado ipo ??? Watu wameibamiza naval fleet imerudisha kwao usa ngumu kushindana na adui anayejitengenezea silaha mwenyewe.
 
sasa wewe subili uone timu itakavyoshushwa na kuanza kuivuruga iran kama ilivyofanywa iraq.
narudia tena.jeshi la ardhi ndio baba majeshi yote yaliobaki ni ya msaada na yanafanya kazi kutoka na taarifa zinazotoka kwa jeshi la ardhi.

kama hutaki kaa hivyohivyo.
USA hana jeshi la ardhi lenye nguvu,1993 Somalia delta force wengi waliuawa na wengine kuburutwa barabarani.
Sasa Iran hao wanajeshi wa USA wakishuka sijui watafanywa nini!?? Ni watachinjwa kama kuku. Maana raia huko takriban milioni 12 wamejitokeza kujiunga na jeshi la Iran kwaajili ya vita inayoendelea. Kamwe USA hatothubutu kupeleka ground force Iran.
 
Boss Rudi mpaka siku ya kwanza ya operation Epic Furry. Mtizame Trump anasemaje juu ya malengo makuu ya operation hiyo.
Pia mtizame Netanyahu anasemaje juu ya Malengo ya Operation.
Nb. Naunga mkono hoja kwamba So rahisi kwamba US atatoa Kambi zake huko lakini nisichokipinga ni kwamba Iran inaelekea kuwa taifa kubwa zaidi middle East.
 
Kiu

Kiukweli iran ishakuwa taifa kubwa kwani kwa sasa anauwezo wa kuwawekea vikwazo waliokuwa wanamuwekea yeye vikwazo the war imewapa leverage kubwa na kuwaongezea nguvu na pia imewaonyesha tool mpya ya kuweza kuzibana nchi za ulaya zilizokuwa zinamuwekea vikwazo kiufupi hapo mwanzo alikuwa anapigwa vita ya kiuchumi akiwa hana means ya kufight back ila kwa sasa ameshaipata
 
Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough country ilo liko wazi ila kupambana na US katika complete war, Iran bado mtoto.
America hajatumia ata mwanajeshi mmoja wa ardhini lakini.
  • Amefyeka viongozi wa juu kabisa wa Iran
  • Amefyeka almost Navy yoote ya Iran, yaani Meli 150 za iran zimefyekelewa mbali

- Amefyeka complex industries kama viwanda vya chuma, kemikali n.k

- Amefyeka top universities, hospitals, research centers

-Amefyeka Kambi za jeshi,na vituo vya polisi.

-Amefyeka Lunchers, drones facilities, Armed vehicles n.k

Effect

1. Mlango bahari wa Hormuz uko wazi.

Kwa hayo yote how come America imekuwa defeated?? Zaidi ya Iran kurusha makombora Kwa nchi jirani.

So America sio mjinga kukubali kuingia kwenye negotiations na Iran Kwa mashartu 10 ya Iran, Anajua kabisa sio yote atayakubali na Iran anajua ilo
Umeandika nini hapa au kama umevuta yale mambo yenu.,
soma hapa chini:-
1. Iran siyo iliyoanzisha vita hivi vya mashariki ya kati kumbuka vizuri US na Israel wao ndio walioanzisha, lakini baada ya wiki tu ya vita ni nani aliomba msaada kutoka mataifa rafiki (Nato)? nafkiri jibu unalo.
2. Kumbuka vizuri, Lengo la vita hivi US walikuwa wana demand nini kutoka Iran? nitakuandikia hapa chini:-
a) walitaka mabadiliko ya utawala Iran ili wamsimike kiongozi atakayekuwa na maslahi na US kama zilivyo baadhi ya nchi za kiarabu kama Saudi Arabia, Baharen nk, jiulize em hilo wamefanikiwa??
b) US walidai madini ya urenium yaliyoyeshwa na Iran wapewe wao wayachukue je wamepewa?
c) US walianzisha maandamano Iran na kuwapa waandamanaji silaha/bunduki ili kulazimisha mabadiliko ya utawala je wamefakiwa?
d) US walitaka Iran isiwe na uwezo wa kumiliki silaha za nuclear je wamefanikiwa?
e) Kuna siku US alisema waziwazi yeye anataka mafuta ya Iran je ameyapata?
f) Kuna siku US alisema anataka kukichukua kisiwa cha mkakati cha Iran Kharg je alikichukua?
j) Ile meli ya Abraham Linckolin uliisikia tena baada ya vita kuanza ambayo aliitanguliza kabla, iko wapi sasaivi?
k) Ulitaja habari ya kiongozi au viongozi wa Iran kuuliwa je baada ya kuuliwa hao viongozi jeshi la Iran IRGC ilishindwa kuendelea na vita? nani aliomba kusitisha vita? unaweza kutaja kwa herufi kubwa nani aliomba kusitisha vita (ceasefire) nani aliomba?

Sasa tuje Iran:-
a) Iran aliahidi iwapo atashambuliwa atahakikisha base za marekani zilizoko Saudia Arabia na nchi zote vibaraka wa US je baada ya vita kusimama kuna base yoyote ya US iliyobakia nchi hizo tena? matokeo yake US amehamisha mpaka ndege zake zote na kuzihamishia kusikojulikana Syprus huko, lakini kama haitoshi hata wanajeshi wake walilazimika kuyakimbia hayo maeneo na kuhamia hadi kwenye mahoteli ambako nako walipigwa pia.
b) Iraq ambako pia kulikuwa na base za US kubwa zaidi je kuna kilichobaki? matokeo yake US waliiomba Iraq iwape masaa 24 ihamishe kabisa kabisa majeshi yake Iraq na vyombo vyote vya habari vilionyesha wazi wazi mchana kweupe majeshi ya marekani wakipanda ndege na kuelekea kwao kutokana na vichapo kutoka Iran.
c) US walisema Mlango wa bahari wataufungua wao kwa nguvu lakini baadae hao hao US mbona waliitaka Nato na China, na baadhi ya nchi wahisani zake wamsaidie kufungua mlango wa bahari na hakufanikiwa, mpaka naandika hapa haya Mlango wa bahari upo chini ya mamlaka ya Iran (IRGC).
e) Ndege vita za US ambazo walidai hazionekani na mifumo yoyote ya rada ya anga ambazo zina thamani ya mabilioni ya dola unaweza kutueleza hapa hatika yake ilikuwa ni ipi? je leo US anaweza kutoka hadharani na kusema ana ndege vita tena ambazo anazitegemea? nafkiri uliziona screpas kwenye magari zimepakiwa na majeshi ya IRGC.

Sasa hizi baadhi ya dondoo za tathmini ya hivi vita lakini kama haitoshi, ungepitia zile points 10 za Iran ambazo Iran wametoa na US kukubali kusitisha vita zina faida kwa nani ili upate nguvu ya kuja hapa na kusema US na mayahudi ndio wameshinda vita.

Kuhusu Marekani kuondoa base zake Mashariki ya kati, hili kwani linamuhusu nani zaidi? Marekani ata akisema ataendelea na base zake kuwa Mashariki ya kati je hao vibaraka wake kwa vichapo walivyopata watakubali tena kuingia mkataba na Marekani? maana waliahidiwa kupewa ulinzi, hizo base kwa US atazilinda na wao watalindwa lakini kweli zililindwa, kuna base tena sasaivi ya US iliyosalama huko mashariki ya kati, kwa taarifa yako Qatar ililazimika kuomba msaada Ukraine wapewe msaada wa wataalamu wa kudungua drone za Iran mana US wenyewe walifeli, ni ujinga wao wenyewe wakiendelea kukaliwa kimabavu na US ingawa hakuwa na msaada wowote kwao, kama US ataendelea nao wacha ni ujinga wao vita ikianguka kama kawaida vyuma vitawalalia tu

Haya mambo kama huyafahamu usiwe mvivu pita vyombyo vya habari na tathmini mbali mbali sio unakuja hapa jazba na mapenzi yako binafsi. pole sana kwa hili
 
Siku zote ukishajiita super power na ukaenda kupigana na regional power halafu ukamshindwa na kutafuta suluhu ya mezani wewe mkubwa ndio umeshindwa period, ili kuficha aibu alitakiwa asike huku kwa kurushiana mabomu mwishowe ni kuaibika tu.
walienda somaria kwa malengo gani?
narudia. nikweli vikosi vya anga ndio vikosi vyenye nguvu kubwa kwenye kutoa msaada kwa nguvu na kwa wakati, pia uelewe tu kua aliegundua ndege kua sehemu ya mapigano jambo hili mwanzoni lilijadiliwa kua ni jambo la hatari sana kwa muktadha wa kibinadamu. lakini pamoja na hayo yoote ila kaa ukijua jeshi la ardhini ndio jeshi baba.na vikosi vyote vingine vinapewa cha kufanya na jeshi la ardhi.
hata hizo shabaha unaoana wanapiga shabaha hizo zimetengenezewa ramani kwa muda kutokana na uchunguzi wa watu wa ardhini. ili uweze kudhibiti maeneo ya adui lazima vikosi vya ardhi vishuke kwenye eneo husika.
unaposikia kwenye vita nchi fulani imefanikiwa kuchukua jimbo fulani au eneo fulani maana yake jeshi la ardhi limekamata udhibiti wa eneo hilo wanajipanga kwa kuchukua maeneo zaidi.wanapojipanga ndio wanawapa rsmani vikosi vingine kama vya anga kutoa msaada mbele yao.wakati huo vikosi vya ardhi vinaendelea kuteka maeneo na kushika udhibiti.
 
Sijaelewa ulicho reply
 
Yalikuwa ni kuondoa dola ya kiislamu Iran kwa kuua viongozi ili kuleta uasi na revolts kutoka kwa raia na jeshi.

Kuharibu utawala, yaani chain of command hapo Iran. Walipomuua Khamanei walifurahi sana, kupongezana na kunywa mvinyo.

Kushika na kukalia kisiwa chenye kuzalisha mafuta na kuiba mali za Iran hasa mafuta na gesi.

Kuwazuia Iran kuzalisha silaha za nyuklia na kurutubisha uranium.

Kudhibiti Hormuz ili kujipa uratibu wa biashara ya mafuta na gesi duniani. Kumbuka dunia inateseka kinishati kwa sasa, sababu tuu Iran kavimba hapo kwenye shingo (Hormuz). Hakipiti kitu pale.
Hayo ni malengo unayofikiria wewe sio ya Amerika.
 
Back
Top Bottom