Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Malengo ya Marekani kuingia vitani yalikuwa yapi ?
Trump na nyau wanayajuaMalengo ya Marekani kuingia vitani yalikuwa yapi ?
Waarabu tayari wameingia akili wamejua Amerika hana uwezo wa kuwalinda, kama Amerika hajaondoa kambi zake mwenyewe atafukuzwa.Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough country ilo liko wazi ila kupambana na US katika complete war, Iran bado mtoto.
America hajatumia ata mwanajeshi mmoja wa ardhini lakini.
- Amefyeka viongozi wa juu kabisa wa Iran
- Amefyeka almost Navy yoote ya Iran, yaani Meli 150 za iran zimefyekelewa mbali
- Amefyeka complex industries kama viwanda vya chuma, kemikali n.k
- Amefyeka top universities, hospitals, research centers
-Amefyeka Kambi za jeshi,na vituo vya polisi.
-Amefyeka Lunchers, drones facilities, Armed vehicles n.k
Effect
1. Mlango bahari wa Hormuz uko wazi.
Kwa hayo yote how come America imekuwa defeated?? Zaidi ya Iran kurusha makombora Kwa nchi jirani.
So America sio mjinga kukubali kuingia kwenye negotiations na Iran Kwa mashartu 10 ya Iran, Anajua kabisa sio yote atayakubali na Iran anajua ilo
wamefanikiwa malengo yao?Yalikuwa ni kuondoa dola ya kiislamu Iran kwa kuua viongozi ili kuleta uasi na revolts kutoka kwa raia.
Kushika kisiwa chenye kuzalisha mafuta na kuiba mali za Iran hasa mafuta.
Kuwazuia Iran kuzalisha silaha za nyuklia na kututubisha nyuklia.
Kudhibiti Hormuz ili kujipa uratibu wa biashara ya mafuta na gesi.
Duh!Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough country ilo liko wazi ila kupambana na US katika complete war, Iran bado mtoto.
America hajatumia ata mwanajeshi mmoja wa ardhini lakini.
- Amefyeka viongozi wa juu kabisa wa Iran
- Amefyeka almost Navy yoote ya Iran, yaani Meli 150 za iran zimefyekelewa mbali
- Amefyeka complex industries kama viwanda vya chuma, kemikali n.k
- Amefyeka top universities, hospitals, research centers
-Amefyeka Kambi za jeshi,na vituo vya polisi.
-Amefyeka Lunchers, drones facilities, Armed vehicles n.k
Effect
1. Mlango bahari wa Hormuz uko wazi.
Kwa hayo yote how come America imekuwa defeated?? Zaidi ya Iran kurusha makombora Kwa nchi jirani.
So America sio mjinga kukubali kuingia kwenye negotiations na Iran Kwa mashartu 10 ya Iran, Anajua kabisa sio yote atayakubali na Iran anajua ilo
Wewe na akili yako unaamini kitu kama hicho, nijinga pekee ndio anaweza kuamini uongo wa Trump.Amefyeka almost Navy yoote ya Iran, yaani Meli 150 za iran zimefyekelewa mbali
wamefanikiwa malengo yao?
nimekuelewaHawajafanikiwa malengo yao U.S na Israel.
Dola ya kiislamu bado ipo Irani.
Iran bado kuna utawala, chain of command bado ipo Iran. Tofauti na Libya, Iraq na Venezuela.
Irani bado kuna utulivu na sovereignty.
Iran katika masharti yake kurutubisha uranium bado ni mpango wake. Masharti ambayo U.S ameshayakubali.
So far, hakuna uasi wa jeshi wala wa raia Irani.
Bado Iran anadhibiti Hormuz na kisiwa cha gesi na mafuta. Maana yake ni kwamba bado Iran anadhibiti uchumi wa dunia kupitia mafuta na gesi.
Bado Iran ana ushawishi na nguvu mashariki ya kati.
Asante sana mchumiHawajafanikiwa malengo yao U.S na Israel.