Porojo za siasa za kutukuza na kuiga ya Ubeberuni haijengi Uchumi.Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira ni kama vichekesho tu. Kila mwenye akili anajua ni kujidanganya tu kwa huyu Mama na kupenda kusifiwa lakini utekelezaji ni zero. Kazi yake kuunda tume fake kila siku hakuna Dira hapa
Porojo za siasa za kutukuza na kuiga ya Ubeberuni haijengi Uchumi.
Je umeisoma Dira 2050 au unakurupuka tu kuponda kama kawaida yenu Chadema?Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira ni kama vichekesho tu. Kila mwenye akili anajua ni kujidanganya tu kwa huyu Mama na kupenda kusifiwa lakini utekelezaji ni zero. Kazi yake kuunda tume fake kila siku hakuna Dira hapa
Pole, Uchumi haijengwi Kwa porojo za siasa za kutukuza bwana zenu.Tunashukuru Watanzania wanaelewa kwamba hapa hamna kitu. Ni kujidanganya tu ujinga mtupu. Nendeni kaangalieni dira za wenzenu sio maigizo ya kijinga jinga hivi
Je umeisoma Dira 2050 au unakurupuka tu kuponda kama kawaida yenu Chadema?
Namuunga mkono mtoa hoja % 💯.Je umeisoma Dira 2050 au unakurupuka tu kuponda kama kawaida yenu Chadema?
Hivyo vitu vyote ni vya muhimu lakini na vina mchango wake. Hii mnayoita Katiba mbaya ya 1977 ndiyo hiyoyo iliyosimamia vision 2025 iliyoasisiwa na Benjamin Mkapa.Ni utumbo tu na ndoto za mchana huwezi kuweka Dira ya maana bila katiba nzuri na sheria kufuatwa. Yaani hawa wajinga wala rushwa na waiba kura ndiyo watupe dira. Watu wengine kila kitu siasa mnakuwa kama misukule.
Yaani katiba ya sasa hivi anaweza kuja Raisi akafanya lolote hata kuwa dikteta na kutawala maisha ! Hamuelewi kuwa hii nchi inaenda kama genge
Hakuna Raslimali iliyokwapuliwa, acha kukariri maneno ya akina Mwabukusi/ Lissu, wale ni wataalamu wa sheria till lakini kwenye uchumi ma uwekezaji ni mbumbumbu kama Mzee Bambo tuNamuunga mkono mtoa hoja % 💯.
Dira ya 2050 kiuchumu ni porojo kwa ukwapuaji na uuzaji wa rasilimali za Tanganyika kiholela na kwa fujo ya kukomoa na kuifilisi kabisa. Bandari, wamasai, gas, nk.
Maandalizi ya kielimu kwa vijana kuingia katika dunia ya uchumi wa viwanda hakuna.
Nidhamu na huduma ya utumishi Serikalini imeshuka mno tofauti na wakati wa Magufuli na rushwa kupata kwa kasi maofisini.
Matajiri wameachwa wafanye lolote kwenye eneo la Kodi, na kuvunja sheria sababu wanamiliki uchumi.
Niambie hiyo 2050 tunavuka vipi wakati siasa tu ndiyo inayotukuzwa.
Ukifungua taarifa yoyote unakutana na Rais kasema, Waziri kaamua, RC kafukuza jambo ambako sio baya.
Ila tungerudi utaratibu wa zamani, ukifungua vyombo vya habari unakutana na kilimo, uvuvi, ufundi na waelimishaji kadha wa kadha
Porojo za siasa za kutukuza na kuiga ya Ubeberuni haijengi Uchumi.
Sihitaji kusikia anachosema Mwabhukusi hata sura yake siifahamu. Lissu hanijui hata jina.Hakuna Raslimali iliyokwapuliwa, acha kukariri maneno ya akina Mwabukusi/ Lissu, wale ni wataalamu wa sheria till lakini kwenye uchumi ma uwekezaji ni mbumbumbu kama Mzee Bambo tu
Hakuna Raslimali iliyokwapuliwa, acha kukariri maneno ya akina Mwabukusi/ Lissu, wale ni wataalamu wa sheria till lakini kwenye uchumi ma uwekezaji ni mbumbumbu kama Mzee Bambo tu
Dira ya 2050 ni uongo mtupu! A giant paper tiger!Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira ni kama vichekesho tu. Kila mwenye akili anajua ni kujidanganya tu kwa huyu Mama na kupenda kusifiwa lakini utekelezaji ni zero. Kazi yake kuunda tume fake kila siku hakuna Dira hapa
dira ya taifa 2050,Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira ni kama vichekesho tu. Kila mwenye akili anajua ni kujidanganya tu kwa huyu Mama na kupenda kusifiwa lakini utekelezaji ni zero. Kazi yake kuunda tume fake kila siku hakuna Dira hapa