Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani umezaliwa kwa wavaa makobazi halafu wewe umeenda kuwa mkatoliki...ile Siku ninazaliwa mlikuja Agha Khan Hospital
Umeandika kimajungu. Ujinga mtupu.1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.
2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha.
3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano.
4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua )
5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa kama hauhudhurii basi Ukifa ( Ukifariki ) Kanisa Katoliki halitokuombea ukiwa Jenezani Kwako.
6. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya kila Siku kuja na Michango isiyo na Kichwa wala Miguu.
7. Jumuiya imekuwa ni Gulio Kuu la kila aina ya Unafiki unaoujua na usioujua hapa duniani.
Halafu Wewe Mwenyekiti, Katibu na Mweka Hazina wa Jumuiya yangu hivi mnavyonitishia kuwa kama nisipohudhuria Jumuiya Nikifa hamtoniombea mmeshazungumza na Baba Mungu na akawaambieni kuwa ataanza Kunitanguliza Mimi Kaburini kabla yenu? Wapuuzi wakubwa nyie.
Je, mnavyong'ang'ania Kutoniombea GENTAMYCINE pale Nikifa je, ile Siku ninazaliwa mlikuja Agha Khan Hospital mbele ya Sister Brendah na Sister Aghata waliohakikisha Nazaliwa vyema na salama Kuniombea? Wapuuzi wakubwa nyie.
Na nani aliyewadanganyeni kuwa Imani ya Ukatoliki inapimwa kwa Kuja Kwake ( Kuhudhuria ) katika Jumuiya za Kikatoliki kila Jumamosi kama ya hii leo?
Nilichoamua tu na najua hata Mwenyezi Mungu ananibariki nacho ni kwamba nitajitahidi Kuhudhuria Ibada zote za kila Jumapili ( hasa Misa yangu pendwa ya Kwanza ) na kutoa Sadaka na Michango ya Kikanisa kama tu nitakuwa Nimebarikiwa na Uchumi kwa wakati huo na kama sina najua hata Mola / Maulana nae atajua na hatonichukia au kuwa na Usununu ( Kinyongo ) nami.
Nawatakieni nyote Jumuiya njema!!!!
Dr. Msoka kule Moshi vp?1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.

Mwamposa alishasema mkitengwa na hayo makanisa nguli hamieni kawe mtazikwa bila kubaguliwa.
Sababu ulizozitaja baadhi zina UKWELI ila sababu zingine ulizozitaja ni suala linaloegemea mtazamo wako.1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.
2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha.
3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano.
4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua )
5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa kama hauhudhurii basi Ukifa ( Ukifariki ) Kanisa Katoliki halitokuombea ukiwa Jenezani Kwako.
6. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya kila Siku kuja na Michango isiyo na Kichwa wala Miguu.
7. Jumuiya imekuwa ni Gulio Kuu la kila aina ya Unafiki unaoujua na usioujua hapa duniani.
Halafu Wewe Mwenyekiti, Katibu na Mweka Hazina wa Jumuiya yangu hivi mnavyonitishia kuwa kama nisipohudhuria Jumuiya Nikifa hamtoniombea mmeshazungumza na Baba Mungu na akawaambieni kuwa ataanza Kunitanguliza Mimi Kaburini kabla yenu? Wapuuzi wakubwa nyie.
Je, mnavyong'ang'ania Kutoniombea GENTAMYCINE pale Nikifa je, ile Siku ninazaliwa mlikuja Agha Khan Hospital mbele ya Sister Brendah na Sister Aghata waliohakikisha Nazaliwa vyema na salama Kuniombea? Wapuuzi wakubwa nyie.
Na nani aliyewadanganyeni kuwa Imani ya Ukatoliki inapimwa kwa Kuja Kwake ( Kuhudhuria ) katika Jumuiya za Kikatoliki kila Jumamosi kama ya hii leo?
Nilichoamua tu na najua hata Mwenyezi Mungu ananibariki nacho ni kwamba nitajitahidi Kuhudhuria Ibada zote za kila Jumapili ( hasa Misa yangu pendwa ya Kwanza ) na kutoa Sadaka na Michango ya Kikanisa kama tu nitakuwa Nimebarikiwa na Uchumi kwa wakati huo na kama sina najua hata Mola / Maulana nae atajua na hatonichukia au kuwa na Usununu ( Kinyongo ) nami.
Nawatakieni nyote Jumuiya njema!!!!
Daah nimecheka sana yani 😂😂😂😂😂😂😂Tatizo jumuiya kila jumamosi zinarotate kwenye nyumba za waumini sasa kama mazingira yako machafu utaichukia tu jumuiya, boresha mazingira yako unapoishi acha kelele
UmenenaKulea roho za watu bila kuwa na roho wa Mungu ni tatizo kubwa sana sio kwetu wakatoliki pekee bali hata kwa madhehebu na dini zingine. Lipo tatizo kubwa la kusimamia mambo ya kwa nguvu za mwilini huku rohoni hawana kitu
Ukikubali kuwa shekhe, padre, mchungaji unayeongoza kundi la waamini zitafute nguvu za rohoni, hekima na upendo viwe miongozo yako na umwombe Mungu ajalie wale unaowaweka kukusaidia kama makatibu, wenyeviti.... kuongoza kwa kufuata yale unayoamini. Vinginevyo badala ya kuwa tumaini lenye faraja kwa watu unaishia kuwa kikwazo na kuumiza watu
Sawa.Umeandika kimajungu. Ujinga mtupu.
Kwakuwa huna na wala hujawahi Kumiliki Akili hata Siku moja.
Nakubali kabisa hiiBinafsi naudhika na matumizi mabaya ya mapato ya kanisa. Mapadre ni vimwana na ulevi mtindo mmoja. Hayo ya kutozikwa yanatekelezwa hata kwa wanao sali. Msiba wa rofa misa ina endeshwa na katekista, wa tajiri mapadri ni wahudumu, askofu anaendesha ibada.
Usijibu hoja kwa ujumla.Tatizo jumuiya kila jumamosi zinarotate kwenye nyumba za waumini sasa kama mazingira yako machafu utaichukia tu jumuiya, boresha mazingira yako unapoishi acha kelele
Michango inatesa sana waamini, kuna mdada tumempa eneo letu atulindie huko shamba basi nikienda namuuliza mbona huendi ibadani anasema hana pesa ya michango, kanisani kwao kuna michango aina 7 ukiacha sadaka,Umeandika kimajungu. Ujinga mtupu.
Na utakaa seat ya mbeleNimecheka mno. Naona umeamua kunipiga Dongo Kiana. Haya bhana ila Jumuiya zenu sihudhurii ng'o na Mbinguni kwa Mungu Baba nitafika tu.