denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Duh!Nilichogundua kupitia haya malalamiko yako; Wewe ni kajitu fulani hivi anti social na kasiko penda kuchangamana na watu! Ni kajitu fulani hivi kenye wivu kupindukia! Sijui mke wako amemsifia jirani yako mnaye sali naye Jumuiya kuwa ni hendsam kuliko wewe, roho ikakuuma!!
Unaishi katika mazingira machafu, nyumba ya hali ya chini kuliko wana jumuiya wenzako, hivyo unajishtukia wana jumuiya wenzako wakija kusali kwako, utaonekana wewe ni mtu wa hali ya chini.
Pia unaonekana ni kajitu fulani hivi kafupi na kabishi ka kila kitu! Unaishi maisha ya kuunga unga, hata kama wewe ni genius uliyesoma SAUT! Maana unalalamikia michango ya elfu 5 tu ya kulitegemeza Kanisa la Mungu! Huku ukiombwa elfu 50 na mchepuko, unatuma na ya kutolea!
Mwisho kabisa unaonekana una itikadi za kiukawa ukawa! Halafu unashangilia timu mbovu ya simba, ambayo kila siku ni kuwalalamikia tu wachezaji, kocha Matola, na CEO Barbara! Hivyo akili yako imevurugwa kiasi cha kuhamishia malalamiko yako Jumuiyani.
Ushauri; hujalazimishwa kwenda kusali kwenye Jumuiya. Na hata usipozikwa kwa kuombewa, who cares!!
Mpaka Simba imefika kwenye jumuia!!