Mtu anayeacha mshahara wa 1m bila kujali mazingira ya kazi, lazima ana option nyingi...Huyo jamaa,atajuta badae.
Huu ndo ujinga wenu vijana wa sasa.kama angekuwa ni mtoto wangu angetafuta pa kwenda kuishi.kama ana tatizo la kiafya ni sawa lkn angeomba uhamisho .kuacha kazi kizembe hivyo atafute pa kuishi na siyo kwangu.hakuna mkoa mbaya hapa Tanzania kwani wanaoishi huko ni mbwa?Wakuu,
Rafiki yangu hivi karibuni alipata kazi nzuri mkoani Njombe, yenye mshahara wa zaidi ya Shilingi Milioni 1 kwa mwezi. Aliripoti kazini Julai mwaka huu, lakini hivi karibuni ameamua kuacha kazi na kurudi Dar es Salaam.
Amesema sababu kubwa ni baridi kali iliyomfanya kuumwa mara kwa mara, ananiambia amekaa kama wiki 2 hajaenda kazini alikuwa anajiuguza tu kikohozi
Kaniambia hata iweje hawezi kurudi tena huko. Ataendelea kufanya mishe mishe mishe zake Dar
Bukoba (BK-British Kingdom).Kigoma,Ruvuma,Lindi ,hiyo njombe na Bukoba narudi siku hiyo hiyo
Bukoba ni pazuri sana shiBukoba (BK-British Kingdom).
Hii ni sehemu cool sana ya kuishi.
Hapo toa kigoma tu hiyo mikoa mingine poa sanaKigoma,Ruvuma,Lindi ,hiyo njombe na Bukoba narudi siku hiyo hiyo