Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko South sijapenda hata...Hiboooo mkuu naona unampeleka mwenzetu beach ,1.5M(tshs)ni kama 10k in rands, hii hela ni nauli tu ya kwenda na kurudi, covid certifucate na rushwa kwenye borders na check points, mkuu mtoa mada utalii wa ndani ni mzuri tu, so far Mwanza imekua ni chaguo la wengi, nami nikipata uwezo will visit Mwanza, and let's clear here uongo sio mzuri,SA ni nchi kama yetu na ina immigrations laws zake why hatutaki kuziheshimu?why unaruka border ?hata sisi hapa ukiingia kwa njia za panya tunakukamata na mahakama utakumbana nayo, SA ni haki yao kupambana na all illegal immigrants, ukitaka Kuja kwangu pitiable mlangoni sio dirishani, nitakupiga risasi.
Mkuu chaguo ni lako kwa mwanza hotel za 30 hadi 80k nyingi hazina utofauti, kama pesa siyo tatizo malaika beach resort itakufaa, au fika mtaa wa Ghana jichagulie itakayokufaa zaidi.Asante mkuu
Kwakuwa nimeamua kujipa amani nimeamua kuanza na hotel ya 50k kuendelea
Njoo mkoa wa Mara wilaya ya TarimeWakuu habari zenu?
Hatimaye Mungu amenikumbuka.
Nataka nikajipe mapumziko kidogo baada ya heka heka flani za mwaka mzima uliopita na mitihani flani ya maisha ili akili ikae mkao wa utafutaji.
Sasa naomba wakuu mnishauri mkoa mzuri hapa Tanzania ambao una maeneo mazuri ya mapumziko. Mkoa huo usiwe Arusha, Tanga, Dar es salaam na Kilimanjaro. Pia zanzibar na visiwa vyake hapana. Mimi binafsi nimependa Mwanza kwa kuwa sijawahi kufika huko, ila mapendekezo yenu nayaheshimu sana.
Bei ya malazi ianzie 50,000 hadi 100,000 kwa siku kwamba hata ikiwa 60, 70 poa tu.
Plan ni kukaa wiki moja (pamoja na siku za safari).
Sipendi kupanda ndege huwa napenda Road trip.
Bajeti yangu haitazidi 1.5.
Nenda mwanza gharama ni nafuu pia kwa malazi au mtwara mjini Kuna mishemishe nyingi Sana usiku na sehemu za starehe za kutosha pia unaweza kuwa kutembelea maeneo ya kihisistoria km vile mikindani na maeneo mengineWakuu habari zenu?
Hatimaye Mungu amenikumbuka.
Nataka nikajipe mapumziko kidogo baada ya heka heka flani za mwaka mzima uliopita na mitihani flani ya maisha ili akili ikae mkao wa utafutaji.
Sasa naomba wakuu mnishauri mkoa mzuri hapa Tanzania ambao una maeneo mazuri ya mapumziko. Mkoa huo usiwe Arusha, Tanga, Dar es salaam na Kilimanjaro. Pia zanzibar na visiwa vyake hapana. Mimi binafsi nimependa Mwanza kwa kuwa sijawahi kufika huko, ila mapendekezo yenu nayaheshimu sana.
Bei ya malazi ianzie 50,000 hadi 100,000 kwa siku kwamba hata ikiwa 60, 70 poa tu.
Plan ni kukaa wiki moja (pamoja na siku za safari).
Sipendi kupanda ndege huwa napenda Road trip.
Bajeti yangu haitazidi 1.5.
Asante mkuuNenda mwanza gharama ni nafuu pia kwa malazi au mtwara mjini Kuna mishemishe nyingi Sana usiku na sehemu za starehe za kutosha pia unaweza kuwa kutembelea maeneo ya kihisistoria km vile mikindani na maeneo mengine
Asante mkuuWeka mafuta kwa gari, nenda Selous tafuta lodge iliyo pembezoni mwa mto Rufuji, kama unataka kwenda sehemu ya kutuliza akili yenye mazingira asilia, kwa bajeti yako unaweza kaa night kama 5 hv, utapata msosi wa asbh, mchana na jioni. Sehemu nyingine Arusha ingawa siyo mjini, Arusha kuna sehemu nyingi za kutuliza akili na kutafakari. Ila kama unataka vibe, basi Mwanza ndy sehemu.
Hii imekaa poa sanaOption nyingine; Ukitaka uinjowi vizuri toka Dar hadi Dodoma pumzika kidogo hapo Dom Jioni nenda zako Pale Bambalaga au Pestana pata wine zako, Kisha ondoka asubuhi kwenda Arusha jioni upumzike pale Picnic-kisha anza safari kesho yake kwenda Mwanza kupitia njia ya Serengeti-kula rough road hiyo kapumzike Butiama kwa Baba wa Taifa ucheki makumbusho. Kesho yake anza safari kupitia Bunda nenda pale Serengeti kacheki zako wanyama kesho yake anza ssafari tena mpaka Mwanza- usiku kapate moja moto moja baridi pale the Cask kesho yake amkia Malaika resort.
Anza safari ya kutoka Mwanza-Dom,ukifika Dom chukua barabara ya Dom-Iringa-Mikumi-Dar.