Aizna
JF-Expert Member
- Jan 3, 2022
- 1,348
- 1,652
Mkuu me sio MH hata kidogo labda kama unanitabiria ikawe hivyo. Nimepitia tu changamoto flan ambazo ziliumiza moyo na akili kwa asilimia kubwa sasa ninataka kuandika ukurasa mpya akilini mwangu..
Labda haujauelewa uheshimiwa nilioumaanisha by the way.. uwe na mapumziko mazuri popote unapoamua kwenda.. wana JF Tunakupenda sana inabidi ufahamu hilo