Ni mkoa gani nchini wenye maeneo mazuri kwa vacation?

Mwanza kuna Hotel pale inaitwa Sparrow nzuri sana,vyumba vina range 60K na kuendele-wana break fast moja matata sana-unaweza usile siku nzima kila kitu asubuhi kipo.
 
Njoo nikupe lift kesho naenda mwanza na warbus (zile cruiser za arusha za watalii zilizoongezwa urefu) tutakua wawili tu Mimi na wewe
Asante mkuu
Ila me sio muumini sana wa lift
 
Mwanza kuna Hotel pale inaitwa Sparrow nzuri sana,vyumba vina range 60K na kuendele-wana break fast moja matata sana-unaweza usile siku nzima kila kitu asubuhi kipo.
Asee JF mna madini ... nimepajua mwanza kwa sekunde chache.
Nitaleta mrejesho hapa...
Natamani niende week ya easter holiday
 
Sizitaki mbichi hizi! Mfuko kalagabaho tu
 
Tunaruhusiwa kujiunga jamani?
 
Ingia mbugani, uchangamane na watalii wanaowinda na kula nyama pori
 
Sizitaki mbichi hizi! Mfuko kalagabaho tu
Wewe me ndege nimepanda hadi nimechoka mkuu... tena mandege yale makubwa ya maana sembuse hizi daladala za tanzania.
Kifupi sizipendi kabisa kama ilivyo boat...
Kwa mzigo unaosoma kwenye acc naweza panda ndege mzunguko wote huo na acc isishtuke...
Kama nakufuru Mungu naomba unisamehe.
 
Mtoto wa Monalisa na vyuo vya Tanzania huyo
 
A
Arusha na Kilimanjaro
 
Karibu Mkoa wa Kigoma,kuna hifadhi mbalimbali kama Gombe,na Mahale,samaki wazuri aina ya migebuka fursa mbalimbali ,pia utajifunza sayansi mbalimbali za kiafrika.
 
Hapa huenda nkapata na mume mzungu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ fuata nyuki ule asali, ingawa vitendea kazi vyao huwa ni vidogo na wengine mkono wa sweta
 
Karibu Mkoa wa Kigoma,kuna hifadhi mbalimbali kama Gombe,na Mahale,samaki wazuri aina ya migebuka fursa mbalimbali ,pia utajifunza sayansi mbalimbali za kiafrika.
Akaone sokwe mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…