Ni mkoa gani nchini wenye maeneo mazuri kwa vacation?

Karibu Mkoa wa Kigoma,kuna hifadhi mbalimbali kama Gombe,na Mahale,samaki wazuri aina ya migebuka fursa mbalimbali ,pia utajifunza sayansi mbalimbali za kiafrika.
Huko naogopa nsijegeuzwa simba
 
Umemaliza bhana.
 
Binamu wee nenda Mwanza hutojuta yaan. [emoji8][emoji8]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] fuata nyuki ule asali, ingawa vitendea kazi vyao huwa ni vidogo na wengine mkono wa sweta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] vifutio sio ¡¡ hapo ndo mtihani ulipo
 
Katavi
 

Mkuu ,,, 1.5 go and return kwa ndege.. kwa sasa covid sio kikwazo kama mwanzo sasa hivi covid ni malaria iliyochangamka tu.. kutoka ubungo mpaka zimbombo-zimbabwe laki moja na ishirini kutoka zimbabwe mpaka jozi-Johannesburg ni R-350 mpaka 400 ukipiga na kula njiani na hizo za kupika covidi na pesa ya dharula kama laki-4 mkuu... akipiga misele yake ya kwenda ata spendi pesa ndogo tu ukizingatia mtoa mada anataka road trip ainjoy’ atafurahia pia atapofika SA-“ mandhari tofauti kikubwa kabsa huyo anaonekana ni MH.. kwa hivyo ataona machizi boti walivyokubali kujitoa kafara na nchi ya watu”” inabidi aingie changanyikeni ajionee manyanyaso tunayoyapata “” then akirudi kwenye majukumu yake atajua tu aweke nini! Sawa mambo yaende.. mkuu usimtishe sana najua ana badget kubwa kushinda hiyo... NAKANJANI
 
Nenda mji wenye mti mrefu na misitu yenye unyevu unyeve na mvua sizizotabirika. Ukikaa juu ya mti huo hutajuta.
 
Mkuu me sio MH hata kidogo labda kama unanitabiria ikawe hivyo. Nimepitia tu changamoto flan ambazo ziliumiza moyo na akili kwa asilimia kubwa sasa ninataka kuandika ukurasa mpya akilini mwangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…