Ni mkoa gani uupendao kuliko yote.

Ni mkoa gani uupendao kuliko yote.

Hapana.mimi nimefika kidongo chekundu tu.
Ila napenda maisha ya yule yapo simple sana mambo ya uji wa ngano asubuhi,jioni kukaa kwenye vibaraza na mtindo wao wa maisha ndo maana napapenda.
Nina zote za urojo unazijua?
 
Hapana.mimi nimefika kidongo chekundu tu.
Ila napenda maisha ya yule yapo simple sana mambo ya uji wa ngano asubuhi,jioni kukaa kwenye vibaraza na mtindo wao wa maisha ndo maana napapenda.

Okay maisha yetu Simple sana,karibu tena.
 
Chato,kuna traffic light za kuongozea ngombe
ZA kuongozea lory la diwani bana
Chato light!.jpg
 
Kuna mikoa unaweza jikuta mkoa mzima unayeongea lafudhi ya kiswahili iliyonyooka na fasaha ni wewe, unageuka kuwa wa maonyesho.

Dar is the best unakula chochote mda wowote kwa kiasi cha pesa ulichonacho, kuna wali maharage wa 200 mpaka wali maharage wa laki 2, unachotaka unapata kulingana na pesa yako, kwingine unapesa ila hakuna quality ya ukitakacho, mfano Chato mji mzima hakuna kachori hawajui ila Dar kila kitu unapata.
Wanaume wa Dar es Salaam watakuchafua wewe
Kumbuka Makonda kasema anapiga marufuku vumbi la Congo [emoji23]
 
Nimefall in love na Malaya wa mafiati hapa Mbeya,wanajua mapenzi sana,tupilia mbali baridi ya Mbeya
 
Back
Top Bottom