Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,103
Nenda West, East , Sourth, and North still Dar is the best.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkoa wa ungujaaa.
Nina zote za urojo unazijua?
Hapana.mimi nimefika kidongo chekundu tu.
Ila napenda maisha ya yule yapo simple sana mambo ya uji wa ngano asubuhi,jioni kukaa kwenye vibaraza na mtindo wao wa maisha ndo maana napapenda.
Okay maisha yetu Simple sana,karibu tena.
Hatua 2 poli hilo nakerwa na miji ya namna hiyo, maji, hali ya hewa si rafiki kwanguDom aisee ni sehemu stahiki; tupilia mbali watu wanavyousimanga mkoa huo ila ni sehemu njema sana.
Mimi sijafika ila napenda sauti zenu tuuOkay maisha yetu Simple sana,karibu tena.
Linganisha mandhari ya Mbeya, Singida, Dodoma. Halafu sema ipi inapaswa kuwa green cityAcha uongo ww mbona hatuoni huo ugreen ya vumbi tupu aliyeita mbeya city Mungu anamwona.
ZA kuongozea lory la diwani banaChato,kuna traffic light za kuongozea ngombe
Wanaume wa Dar es Salaam watakuchafua weweKuna mikoa unaweza jikuta mkoa mzima unayeongea lafudhi ya kiswahili iliyonyooka na fasaha ni wewe, unageuka kuwa wa maonyesho.
Dar is the best unakula chochote mda wowote kwa kiasi cha pesa ulichonacho, kuna wali maharage wa 200 mpaka wali maharage wa laki 2, unachotaka unapata kulingana na pesa yako, kwingine unapesa ila hakuna quality ya ukitakacho, mfano Chato mji mzima hakuna kachori hawajui ila Dar kila kitu unapata.
Wanaume wa Dar es Salaam watakuchafua wewe
Kumbuka Makonda kasema anapiga marufuku vumbi la Congo [emoji23]
Sasa mbona umesema Dar? Au unahama naeMsukuma haitaji kuboost na kanda ya ziwa hakunaga kibamia.