Ni Mkutano kisiasa wa CCM , ila Waandishi wa habari wanamuhoji WEMA SEPETU masuala ya yeye Kutokuzaa, na masuala ya Mbwa wake "Manunu"

Sa mlitaka waandishi wa habari wamuoji nn?
Anakitu gan au mchango gan ktk siasa za tz
 
sasa huyu pamoja na huo uchepechepe wake utaskia kesho kalamba uteuzi. s'tyms hii dunia hauitaji kuwa serious sana. we omba pumzi tu.
 
Sa mlitaka waandishi wa habari wamuoji nn?
Anakitu gan au mchango gan ktk siasa za tz

Kila mpiga kura au mlipa kodi ana mchango mkubwa kwenye siasa na mfumo mzima wa maisha hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom