Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

913M3FSZZcL._UF894,1000_QL80_.jpg
 
Kipindi hicho niko form two ile movie ya sarafina Kuna mwamba alikuwa kanyoa kiduku alipigwa risasi sasa ile paredi wanafunzi wanaenda kuzika zikapigwa song nilipata uchungu sana nilikuwa nikikutana na mzungu yoyote na muua kimawazo😅
Kwaiyo chief wew ni the silent killer 😂😂
 
Neria
Hatya

Udogoni lakini. Siku hizi movie zote ni maigizo kama ya bongo movie. Siangalii kabisa.
Hatya.
Indian movie ambayo ilikuwa ni lazima uitazame halafu siku nyingine uitazame tena. Ni significant movie. Shida yake haikuwa na masongi makali sana. Pia KuchKuch Hotae ni movie ya kusikitisha sana ktk baadhi ya scenes. Hasa pale shuleni mtoto anaambiwa aeleze kuhusu mama yake na hajawai kumuona wala kuishi naye.
 
Nawasalimu kwa Jina la jamiiforums, stori ziendelee.

wana JF napenda sana muvi za hisia zile mtu unatazama hadi unatoka machozi.

Tunaomba kwa yeyote anaezifahamu muvi za kutoa machozi aweke hapa jina la muvi tukazitafute.
Tears of the sun
 
12th fail wazee wa Bombay

Jawhen wahindi
 
Land of wind, hii ni series Kuna episode jamaa anachomwa moto live bila chenga rafiki yake muhusika mkuu. Ile scene nililia aisee sio kutokwa na machozi tu.
Rafiki yake na Jumong🤣
 
Back
Top Bottom