Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

Dah asee eti nawenyewe wamefungua uzi wanaume wa daslam wakipeana michapo teh teh teh teh
 
Mnaaopenda picha za kuliza tazameni picha za kihindi za zamani. Mfano "Mother India"

Au wale wanaopenda kucheka na kulia kwa wakati mmoja watazame , "Amar Akbar Anthony" inasikitisha na wakati huohuo inachekesha.
 
Hachiko
Life of marriage(hapo nipo kwenye heka heka za kufatilia talaka)
 
Mnaaopenda picha za kuliza tazameni picha za kihindi za zamani. Mfano "Mother India"

Au wale wanaopenda kucheka na kulia kwa wakati mmoja watazame , "Amar Akbar Anthony" inasikitisha na wakati huohuo inachekesha.
Kuna movie ya Shivaay ya Ajay Devgan aisee kule mwisho nilipata simanzi ya kweli
 
Jina nimesahau wanajeshi wa kimarekani wantekwa na wajapani wanapelekwa Huko kwenye gereza la wajapani asee mule ndani machizi wanateswa chakula hamna walikonda vibaya

Kuna scene mchizi anaaambiwa na yule ya general.wa wajapani abebe gogo Ilihali mwili wake dhaifu na mwamba akaomaa akabeba gogo dah movie Ile iliweza kunipa huzuni
 
Jua kali. Hiki kipande Diba anatendwa. Lol
 
Kipindi hicho niko form two ile movie ya sarafina Kuna mwamba alikuwa kanyoa kiduku alipigwa risasi sasa ile paredi wanafunzi wanaenda kuzika zikapigwa song nilipata uchungu sana nilikuwa nikikutana na mzungu yoyote na muua kimawazo😅
 
images.jpeg
 
Back
Top Bottom