Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

Mnakunywa sana maji mbona machozi yenu yapo karibu ivyo..
Wanaolia wana nafuu kubwa ya kuondoa sumu ndani yao kuliko anayekufa kisabuni. Hata Yesu mwenyewe alilia inategemea hisia hizo zimesababishwa na nini?
 
Mpaka sasa pursuit of happiness naona imetajwa mara nyingi nitaitafuta nione kilichojiri.
1. A man called God ya kikorea
2. Train to busan ya kikorea
hizi zitakutia fundo la uchungu
 
Hasa pale yule jamaa kajinyonga, labda ya hapo alipiga gitaa akiimba " Give me some sunshine,give me some rain...give me another day.."

Akajipiga kitanzi akaacha neno "I QUITE".

Chozi lilinidondoka aisee.

Virus hakua mtu mzuri.

Silencer,mchafuzi wa hali ya hewa.
 
Enzi za utoto My Love ya kinaijeria

Majuzi hapa ni hii inaitwa I still Believe ya kizungu
 
Hoteli Rwanda
Apocalypto
Escape from sobibor
 
Land of wind, hii ni series Kuna episode jamaa anachomwa moto live bila chenga rafiki yake muhusika mkuu. Ile scene nililia aisee sio kutokwa na machozi tu.
Nililia pia pia aisee umenikumbusha mbali
 
Back
Top Bottom