Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

Jirani

embu muache bana binti mrembo mahondaw bana. nilikuwaga na nampenda mpaka sasa (samahani smart). njoo tule bana gambe hapa.

huwezi jua umeepushiwa nini! ila kiukweli mi nikimuona dah moyo unafungua milango yote mpaka ule wa handaki.

anyway wiki endi hii bana kuna bonge la shughuli hapa town embu jongea tule bia maana kuna kreti contena nzima si unajua wachagga tena siye

Cc Smart911
 
Nilikua na demu wangu,Siku hiyo nilienda kumgegeda kwao,muda wa usiku wazazi wake wakalianzisha ugomvi.mama yake akakimbilia chumba nilichopo,bahati nzuri nilijificha nyuma ya mlango masaa 3 na viatu mkononi kwani kikao cha usuruhishi kilifanyika mule ndani..siwezi kurudia kulala hata kwa mwanamke aniambie kwake thubutu
 
hahahahahahaha dah nimecheka sana
 
Kuna kadem Kalipita Kibalazan Mi Nikakaita Kalikuwa vzr sana kana lafudhi ya kipemba Mtandio Full

Cha ajabu Nikakatongoza kakakubali Siku iyo iyo nikaambia kaje geto Eehh si kakaja Wakat Najiandaa kuvua nguo Si mwenzangu Naona ananikodolea macho namuuliza Vp Wala hanijib

Kwanin Asianze kunguruma kama Chura yupo ktk shimo tif tif lilotokea Hapo acha tuuu
Asee rafiki, njoo utueleze uliponaje hayo maswahibu.?!?
 
Kuna ex wangu mmoja alikuwa na machine ya kipekee kwa kweli

Na ilibidi nimwache tu maana ningekufa kwa ukubwa na urefu Wa machine yake
Sio vizuri kumwacha mwenzio...kwani alijiumba mwenyewe?
 
habiba kikojozi.
baada ya kula bata sana alikuja na midola tukaanzia jolly kumalizia kwa macheni kisha tukaenda kuangusha ,gegeda inavyotakiwa,usiku demu anaota anakojoa,choo kipo humo ndani,lakini kakojolea nguo zote zilikuepo chini pale.dah naamka niende home jinz imeloa chapa chapa na inanuka kojo,

ikabidi nimwamshe ndo solution akaniazima pedo.
nafika home mama mwenye nyumba always yuko kibarazani ananiona na kipedo,ananiuliza mwanangu vipileo?nikamwambia mama we acha tu.
Eti pedo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
mie nilikutana na mpenzi mmoja ambae alikua akiniona tu anaanza kucheka tuu non-stop. mwanzo nilidhani "i was too funny", ila baadae nikaanza kuogopa isije kuwa na date na kichaa.
Nikisoma jina lako+yaliyokukuta+nikimkumbuka"joker" wa batman za christian bale sina mbavu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilimpata mmoja, wakati huo nilikuwa nimeachana na demu wangu! bahati mbaya x girl alikuwa ameacha kofuli lake ndani!

yule mpya si akaona kofuli la x, akazimia, nikaanza kumpepea, alipozinduka tena akona lile kofuli,akazimia tena...!

Nikauliza jirani yangu, mtu akizimia nini first aid yake, akaniambia unamvua nguo zote zilizombana, nikarudi ndani nakamvua sidiria, pichu yake.......lahaula... nilipoona mzigo ulivyovimba vizuri, nikaanza kuzamisha huku kazimia... alipozindukia katikatika nikila mambo, akaendeleza kutoa ushirikiano... Nikamkojoza viwili non stop..

Alipotoka hapo akaumwa presha, akalazwa Temeke hosp week nzima....! Baada ya hapo nikajua alikuwa ananipenda kwa dhati, nikakata shauri...

Ndio mama watoto wangu sasa..!
 
Zamani nilikuwa na a friend with benefits, nje kwangu kuna grocery, anakuja tunapiga sana stori na pombe tunahamia ndani kupiga mechi. Siku kama kawaida yetu mpaka tunaenda ndani, nikaingia kwanza bafuni, huku bibie kapata hamu ya kutafunatafuna kafungua friji kakuta kiporo cha rosti kaanza kudonoa, bila kupasha.Natoka bafuni nasikia vishindo vya chinichini,kuangalia namkuta yuko sakafuni anajigaragaza na kujitupa anaongea maneno yasiyoeleweka,nikaomba msaada kwa jirani tukamdhibiti kidogo, akawa anatamka anataka apelekwe nyumbani kwao mm nikawa nataka nimpeleke hospitali moja kwa moja jirani yangu akanishauri tumpeleke nyumbani kwake, uzuri njia ya hospitali ndio hukohuko kwao,tumemfikisha mama yake hata hakushtuka,akatuambia tumuingize ndani sisi tutoke,baadae akatoka akatuambia hamna tatizo,mambo ok,akatuuliza tumuelezee ilikuwajekuwaje nikamhadithia kila kitu,bimkubwa akauliza ile nyama ni ya nn,nikakumbuka ni pork,akasema ndio tatizo...demu sijui ana mizimu(nikahisi majini) gani inamsumbua.Nikashukuru tukaondoka nikampotezea tangu siku ile japo mama mtu aliniambia kwa uzoefu wake mwanae ananipenda sana maana alikuwa anatamkatamka jina langu wakti wanamtuliza. Sisahaugi lile tukio.
 
Nilimpata mmoja, wakati huo nilikuwa nimeachana na demu wangu! bahati mbaya x girl alikuwa ameacha kofuli lake ndani!

yule mpya si akaona kofuli la x, akazimia, nikaanza kumpepea, alipozinduka tena akona lile kofuli,akazimia tena...!

Nikauliza jirani yangu, mtu akizimia nini first aid yake, akaniambia unamvua nguo zote zilizombana, nikarudi ndani nakamvua sidiria, pichu yake.......lahaula... nilipoona mzigo ulivyovimba vizuri, nikaanza kuzamisha huku kazimia... alipozindukia katikatika nikila mambo, akaendeleza kutoa ushirikiano... Nikamkojoza viwili non stop..

Alipotoka hapo akaumwa presha, akalazwa Temeke hosp week nzima....! Baada ya hapo nikajua alikuwa ananipenda kwa dhati, nikakata shauri...

Ndio mama watoto wangu sasa..!
Wow hongeraa
 
Nilikua na demu wangu,Siku hiyo nilienda kumgegeda kwao,muda wa usiku wazazi wake wakalianzisha ugomvi.mama yake akakimbilia chumba nilichopo,bahati nzuri nilijificha nyuma ya mlango masaa 3 na viatu mkononi kwani kikao cha usuruhishi kilifanyika mule ndani..siwezi kurudia kulala hata kwa mwanamke aniambie kwake thubutu
Hii rekod yko inabd iingie kwny Gunness book
 
Back
Top Bottom