Ni 'Mpuuzi' gani 'alimdanganya' Mzee Stephen Wassira kuwa Tundu Lissu anataka kuwa Rais wa Tanzania kwakuwa tu alipigwa Risasi Dodoma?

Na siyo kila sokwe anaishi mbuga ya Gombe, wengine tunao mtaani ila hawajui kufunga vufungo vya suti na wanapiga usingizi kila wakiwa mkutanoni.
Na wengine tunaishi nao lakini hawajitambui kuwa wao ni SOKWE.
 
Wakurya hatupo hovyo kiasi hiki huyu mzee sijui katoka wapi?
 
Wakurya hatupo hovyo kiasi hiki huyu mzee sijui katoka wapi?

Ungesema tu Watu wa Mkoa wa Mara ( ambao hata Mimi pia huko ndiko Nyumbani ) hatuko hivyo kwani Wasirra siyo Mkurya kabisa Mkuu wangu.
 
Na siyo kila sokwe anaishi mbuga ya Gombe, wengine tunao mtaani ila hawajui kufunga vufungo vya suti na wanapiga usingizi kila wakiwa mkutanoni.
Soma Kwanza ulichokiandika
 
Huyu mzee kama hapendi kucheza na wajukuu zake basi arudi kwake mbuga ya Gombe. Hana mchango tena kwenye jamii ya binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…